Mombasa Raha yatekwa?

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Nimesikia gari la Mombasa Raha limetekwa jana usiku likitokea morogoro kwenda tabora....any news?? my young brother was there...but for now hapatikani tena hewani....

msaada tafadhali, kama kuna mtu anataarifa yeyote au ana mawasiliano ya hiyo kampuni ya bus...am confused!
 
tulia kwanza tuwatatute wahusika wala usipanic ndugu yangu

sooon i will com back to you!
 
ZionTz,
Pole kwa mshtuko mkuu. Tulia na fuatilia tu taratibu. Fahamu kuwa limetekwa maeneo gani then uwasiliane na polisi wa mkoa au wilaya hiyo kwa taarifa zaidi. Nina hakika kama lilitekwa jana usiku, polisi watakuwa wamepata habari. Pia ofisi za hilo basi kwa Dar es Salaam kama uko Dar litakuwa na taarifa, I guess.
 
duh! pole sana, si rahisi kupokea habari kama hizi, tulia kwanza, ukweli utajulikana hivi karibuni naamini, whatever the case naomba Mungu kuwe na usalama kwa abiria wote
 
Pole Zion... Binafsi nimesikia hizi habari kutoka kwako
Tuko pamoja katika hili, just tulia wala usiPANIC sala ni muhimu zaidi katika kipindi hiki
 
Usijali m2 wangu, ninawasiliana na washikaji wanaofanya kazi na mabasi nitakupa feedback baada ya muda mfupi.

Basi lilitoka saa ngapi jana?
 
Familia yangu inasafiri kesho kwenda Mwanza na Mombasa Raha, mbona mnanitisha? Mmeshapa updates?
 
Asanteni sana wakuu...Mmenifariji sana na Nikafarijika

Finally nimeweza kuongea na my brother saa 8 mchana

aliporwa simu, wengine wamekatwa mapanga na kuporwa mali zao

mbalimbali, gari lilitekwa tabora, alipotekwa alimu-sms sista, then akawa

hapatikani mpaka sa 8 leo...thx very much for ur support

pamoja wana-JF
 
pole sana,vipi yeye yuko salama lakini?
 
Asanteni sana wakuu...Mmenifariji sana na Nikafarijika

Finally nimeweza kuongea na my brother saa 8 mchana

aliporwa simu, wengine wamekatwa mapanga na kuporwa mali zao

mbalimbali, gari lilitekwa tabora, alipotekwa alimu-sms sista, then akawa

hapatikani mpaka sa 8 leo...thx very much for ur support

pamoja wana-JF

ooops pole sana kumbe brother alikuwa kwenye bus hilo thanx god wamenusurika wote
 
Mkuu mombasa raha imeua dada yetu magu j4 baada ya kugonga gari ndogo. Jamani haya mabasi ya shinyanga muwe mnajali maisha ya watu wengine. Au mnataka nchi nzima yawekwe mabamps kama huko kwenu shinyanga? Hivyo itakuwa haina maana ya kuwa na barabara nzuri..
 
Pole sana, kwa maombi yote yanawezekana, simu si kitu kikubwa yuko salama kama ilivyopatikana iliyoporwa itapatikana nyingine.
 
Mkuu mombasa raha imeua dada yetu magu j4 baada ya kugonga gari ndogo. Jamani haya mabasi ya shinyanga muwe mnajali maisha ya watu wengine. Au mnataka nchi nzima yawekwe mabamps kama huko kwenu shinyanga? Hivyo itakuwa haina maana ya kuwa na barabara nzuri..

Pole kaka kwa msiba uliowapata lakini kwa kuweka sawa taarifa hiyo ni kuwa dada alikuwa anongea na simu wakati akikaribia kupishana na basi hilo ndipo aliposhindwa kukuntrol gari na kuliingilia basi kwa mbele.

RIP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom