Habari wanajamvi wenzangu,
Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ningependa ku "share" na na nyinyi katika jukwaa hili la Mapenzi na Mahusiano.
Kitu chenyewe ni kipindi cha maswala ya mapenzi kiitwacho "CONNECT" kilichokuwa kina rushwa na kituo cha TV cha k24, kenya
Mbali na mambo mengi ambayo niya msingi katika mahusiano ya "Male/Female" ambapo wanafafanua/kuchambua mambo ya msingi katika maisha ya mahusiano... mmi binafsi nimekuwa interested zaidi na "episode" ya Mombasa Raha Positions ambapo kwa vitendo wanaonesha "style" mbalimbali zakumfikisha mtu ki....ni.
Kiukweili nimejifunza kitu na elimu nzuri sana kwa vijana na hata watuwazima.....video clips zinapatikana youtube unaweza ku search au visiti WAPO VIDEO TUBE Naamini nawe utajifunza kitu......Asanteni sana na usiku mwema