Mombasa County-Kuingia ni Arusi Kutoka ni Matanga

Juakali1980

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
798
506
Mombasa County

28717402676_9e268ef80b_b.jpg

28749079975_d2e3677ea9_b.jpg

27988887550_eb92422d98_b.jpg

27654568813_b18db3afae_b.jpg

1.jpg

rAPVz.jpg

5.jpg

2.jpg

4.jpg

27965416204_87a0c5e0ef_b.jpg
 
Patamu sana hapo Mambasani, yaani hizo picha jo...
Japo uwe makini akina Mwanaisha wasije wakakunogesha hadi ujisahau. Maana wale warembo wa Pwani wana jinsi wakikugusa unakua tayari kuuza shamba lako la muwa kule kijijini ili ukaserebuke nao.

Hahahaa... Basi nauza muwa sitauza shamba na nije likizoni Aprili.
 
Hahahaa... Basi nauza muwa sitauza shamba na nije likizoni Aprili.
Tatizo hela za zao la muwa hucheleweshwa sana, yaani Mwanaisha akikukonyezea jicho na jinsi alivyochorwa chorwa zile tatoo zao, unaamua potelea mbali na kulitangazia shamba lote mnada.
 
Patamu sana hapo Mambasani, yaani hizo picha jo...
Japo uwe makini akina Mwanaisha wasije wakakunogesha hadi ujisahau. Maana wale warembo wa Pwani wana jinsi wakikugusa unakua tayari kuuza shamba lako la muwa kule kijijini ili ukaserebuke nao.
kinachokera huko ni ushoga tu, ila mazingira ni mazuri.
 
Patamu sana hapo Mambasani, yaani hizo picha jo...
Japo uwe makini akina Mwanaisha wasije wakakunogesha hadi ujisahau. Maana wale warembo wa Pwani wana jinsi wakikugusa unakua tayari kuuza shamba lako la muwa kule kijijini ili ukaserebuke nao.
Hiyo inaitwa waja leo waondoka mwakani
 
Tungekua makini sana ...Dar tunge ipiku Mombasa. Tuna kila kitu cha kuwa jiji la watalii.
Mimbasa ka Zanzibar...haya majina ni BRAND already.
Hata Dar es salaam ni Brand.
Lakini wakuu tangu awali baada uhuru jina la Waswahili hawakulipenda..basi jiji lika geuka ndo kitovu cha maasi. Kuanzi majambazi
Mafisadi na watu walopewa madaraka ya jiji kuliharibu makusudi kupoteza hadhi yake.
Sasa tutabaki kwenda kwa majirani
 
Back
Top Bottom