Momba: Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbunge wa Tunduma kwa kinachodaiwa kuwepo na taarifa za kiintelijensia za uvunjifu wa amani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1582248257637.jpg

Pia soma > Polisi hawana jukumu la kuzuia uvunjivu wa amani?
 
Ukitaka kucheka, huyo mbunge atokee kwenye vyombo vya habari na kusema hali ya amani katika jimbo la momba sio shwari, utashangaa hao hao polisi watakavyokanusha na kusema hali ya amani ni nzuri na watu wanafanya shughuli zao bila usumbufu wowote.

Waje wale wajinga ambao huwa wanasema mikutano ya cdm haizuiwi sehemu ambazo umechaguliwa.
 
Magufuli alisema kila mbunge afanye mikutano jimboni kwake, ajabu sasa hivi hawataki wapinzani wafanye mikutano hata kwenye majimbo yao!

Kama sababu ni usalama wao polisi wanahusika na nini, kwani sio kazi yao kulinda usalama wa raia na mali zao?

CCM inafurahia kubebwa namna hii halafu wanakwambia chama chao kinakubalika!, na hao polisi kama kulinda usalama hawawezi bora watafutiwe mashamba wakalime tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatuona watanzania ni wajinga au makondoo

In God we Trust
Tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu tukiwa na tumaini kwamba muda wake utaisha na ataondoka. Wakati mwingine nahisi hata jeshi la polisi halipendi kutesa raia wema ila jeshi linapelekeshwa na kulazimishwa kutenda ndivyo sivyo
 
ICC haiyajui hayo wataburuzwa tu kwa mama Fatou Bensouda
Tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu tukiwa na tumaini kwamba muda wake utaisha na ataondoka. Wakati mwingine nahisi hata jeshi la polisi halipendi kutesa raia wema ila jeshi linapelekeshwa na kulazimishwa kutenda ndivyo sivyo

In God we Trust
 
Magufuli alisema kila mbunge afanye mikutano jimboni kwake, ajabu sasa hivi hawataki wapinzani wafanye mikutano hata kwenye majimbo yao!

Kama sababu ni usalama wao polisi wanahusika na nini, kwani sio kazi yao kulinda usalama wa raia na mali zao?

CCM inafurahia kubebwa namna hii halafu wanakwambia chama chao kinakubalika!, na hao polisi kama kulinda usalama hawawezi bora watafutiwe mashamba wakalime tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mwenyekiti wa CCM hivyo alikuwa akiwaambia wabunge wake wasiogope wafanye mikutano.
 
Asante sana kamanda wa wilaya, tunaona juhudi zako. Andaa na zegwe la kutakatisha wasweke ndani hao viongozi.Juhudi kama hizi zinaongeza uchumi wa viwanda na kasi ya ujenzi miradi ya maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Intelejensia ya Poilisi ilishindwa kufanya Kazi tukio la kukanyagana moshi kwa Mwamposa.
 
Magufuli alisema kila mbunge afanye mikutano jimboni kwake, ajabu sasa hivi hawataki wapinzani wafanye mikutano hata kwenye majimbo yao!

Kama sababu ni usalama wao polisi wanahusika na nini, kwani sio kazi yao kulinda usalama wa raia na mali zao?

CCM inafurahia kubebwa namna hii halafu wanakwambia chama chao kinakubalika!, na hao polisi kama kulinda usalama hawawezi bora watafutiwe mashamba wakalime tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
86970584_127583522124626_5032608563080462336_n.jpg
 
Back
Top Bottom