Mojawapo ya uongo na dharau za Lissu ni kubeza tafiti za Maprofesa kuhusu makinikia

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,401
7,175
Kuna clip lissu alisimama siku moja sitaisahau bungeni na kusema kwa dharau tafiti mbili za maprofesa wazalendo kuhusu makinikia ni uongo mtupu. Mwenyewe aliziita kwa dharau ni proffessorial rubbish. Tafiti hizo bila shaka ndio msingi unaowabana barrick kama walikua wanashiriki kutuibia kwa kile kilichogunduliwa. Ingekua proffessorial rubbish barrick wasingeahidi hata kutoa kishika uchumba anachosema lissu ila kuna ushahidi wamebaka.
Lissu bila shaka alitumwa ni kibaraka. Hata kama ni mropokaji angekua japo na akili ya kuwaheshimu wasomi maprofesa wazalendo. Huyu inaonekana anawazimikia sana wazungu maliberali.
 
ndugu, kama jambo hulijui bora unyamaze tu. kukaa kimya ni hekima zipitazo hekima zote.

zile findings za maprofesa wa makinikia ni utter rubbish. huo ndiyo ukweli na Lissu yu sahihi kabisa.
mimi nisemaye ni mwalimu by profession - eneo nililobobea ni extractive technologies (mining, fossil fuels, etc).
 
Watanzania wengi bado Ni wajinga. Mmoja wapo wewe! Unajua maana ya Utafiti? Jifunze kwanza kuhusu Hilo halafu ulete unachotaka kukileta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukiwa mwalimu ukisema ni uongo tukuamini badala ya kuwaamini maprofesa..huna lolote wewe ni nyumbu wa malisho.
 
Watanzania wengi bado Ni wajinga. Mmoja wapo wewe! Unajua maana ya Utafiti? Jifunze kwanza kuhusu Hilo halafu ulete unachotaka kukileta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mgumu kusoma na kuelewa kitu usichopenda. Of cause lissu is the rubbish you admire. Ungepita sio kudhani wengine hawajui tofaoti ya uchunguzi utafiti etc.
 
ndugu, kama jambo hulijui bora unyamaze tu. kukaa kimya ni hekima zipitazo hekima zote.

zile findings za maprofesa wa makinikia ni utter rubbish. huo ndiyo ukweli na Lissu yu sahihi kabisa.
mimi nisemaye ni mwalimu by profession - eneo nililobobea ni extractive technologies (mining, fossil fuels, etc).
Zinaweza kuwa na mapungufu, lakini ingekuwa takataka kama mnavyodai saa hizi watu wangekuwa mahakamani kama lisu alivyotahadharisha badala yake tunawaona kwenye meza ya majadiliano.

Kuna mahali wamekamatwa.
 
unapowekeza kwenye nchi ya kigeni $$ in billions, you have to do a cost-benefit analysis inapofikia stalemate kama hii.

Barrick/Acacia wana option ya kwenda mahakamani - nakuhakikishia watashinda kwa 101% kwa mazingira ya jinsi serekali ilivyolivuruga suala hili bila kutumia uweledi. but kesi inaweza kuchukua muda mrefu sana kabla ya hukumu kutolewa.
the brighter side of this option is it offers a sustainable solution to the investor in the longer term view.

option ya pili ni ku settle out of court, which is probably quicker and less costly but certainly not sustainable from an investor's point of view.... ndiyo maana unawaona Barrick/Acacia wanasitasita kutoa hata hicho kinachoitwa "kishika uchumba".
 
Wangekuwa na uhakika wa kushinda 101% wasingeahidi hicho unachoita kishika uchumba. Nayaheshimu mawazo yako japo sikubaliani nayo, wamekiuka mambo mengi sana ya kimkataba kwenye operations zao.
 
Back
Top Bottom