kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,418
- 7,204
Kuna clip lissu alisimama siku moja sitaisahau bungeni na kusema kwa dharau tafiti mbili za maprofesa wazalendo kuhusu makinikia ni uongo mtupu. Mwenyewe aliziita kwa dharau ni proffessorial rubbish. Tafiti hizo bila shaka ndio msingi unaowabana barrick kama walikua wanashiriki kutuibia kwa kile kilichogunduliwa. Ingekua proffessorial rubbish barrick wasingeahidi hata kutoa kishika uchumba anachosema lissu ila kuna ushahidi wamebaka.
Lissu bila shaka alitumwa ni kibaraka. Hata kama ni mropokaji angekua japo na akili ya kuwaheshimu wasomi maprofesa wazalendo. Huyu inaonekana anawazimikia sana wazungu maliberali.
Lissu bila shaka alitumwa ni kibaraka. Hata kama ni mropokaji angekua japo na akili ya kuwaheshimu wasomi maprofesa wazalendo. Huyu inaonekana anawazimikia sana wazungu maliberali.