Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

Naona Tundu Lisu anaendelea kupiga nyundo huko Majuu akieleza aina ya Tanzania tunayotakiwa kuishi.

Tanzania ya utu si Tanzania ya vitu, Tanzania ya sheria si Tanzania ya mtu. Nchi ambayo umri uliopewa kuishi hauingiliwi na kupunguzwa na mtu. Nchi ambayo uhai haulinganishwi na kitu kingine chochote wala aubadilishwi na kitu chochote.

(2020 was a difficult year for democracy in Africa, including in #Tanzania. But @TunduALissu reminds us that there is hope. "We have survived the Magufuli dictatorship. We were supposed to be completely down and out. We are not." Lisu)

Je wale waliotuambia kuwa amenyamazishwa na wakaleta taarifa na vifungu vyao vya sheria wanamchukulia hatua gani huyu mtu ambaye anyamazi Kama Asylum na Refugee tulioaminishwa hapa Jf?

Au sisi Wana CCM tunajua zaidi ya sheria za kimataifa kuliko Mataifa?
Mtu akikaribia kufa lazima atapetape!
 
Amekiachia chama mbunge mmoja kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Maonyesho ya Ujinga wa mtu mweusi kwenye boksi la kura. Dah wapinzani mna maneno hatari
 
Akiwemo yeye alikuja kujionyesha kwa ujinga wake na jinsia moja, kisha akalala mbele kurudi alipokuwa baada ya maonyesho kwisha,
Nadhani yeye ndo alikuwa mjinga na wafuasi wake walioshiriki maonyesho huku wakijua hayana maana.
Hapo sasa naona mmeunda makao makuu ya wajinga na wapumbavu dunia. Hoja za kufikirika.
 
MATAGA mlisema Lissu kafungwa mdomo, vipi tena au anaruhusiwa kuandika tu sio kuongea?!

#mtataga
 
Hili ni jukwaa la great thinkers mbona matusi kibao? Hoja hujibiwa kwa hoja matusi hayasaidii chochote jamani
 
Hivi we we kipindi kile cha kampenii alipaswa hata kampenii asifanyee, matokeo yake amekiachia chama mbunge mumojaà. Kiufupi Mimi napendekeza baada ya ajaliii ile kubwa na mbaya, alipaswa apumuzike kwanza ili akili itengamaeee
Amekiachia chama mbunge mmoja au nyie MATAGA ndio mmewawapa mbunge mmoja na sasa mnajaribu kurubuni wanawake wao wa viti maalum .Akili zenu ni kama jina lenu tu Chama cha matahahira
 
Jerusalem wewe na Lissu nani ana mchango wowote nchi hii ?!. Huna lolote la faida na nchi hii , piga debe huenda ukakumbukwa.

Lissu amefanya yake na history itamkumbuka. Je wewe ?!. Sababu zinazosababisha watu wazikimbie nchi zao si za kujivunia kama taifa bali ni aibu yetu .
Ninachokupendea huandikagi matusi!
 
So what ? Lissu tunajua alichopigania kwa maisha yake yote. Wewe je unapigania nini na mchango wako kwa nchi yetu ni upi?

I doubt if you have moral and intellectual authority to question the intelligence of Lissu
Lisu ni bogus tu, hana lolote ataozea Belgium na atarudi kama Kambona alivyofanya, historia huwa inajirudia. Tanzania inasonga mbele haibabaiki na makuwadi wa wazungu.
 
Refugees are people who have fled war, violence, conflict or persecution and have crossed an ... Refugees are defined and protected in international law.

Lissu ameomba status ya ukimbizi na bado hajakubaliwa kapewa hifadhi huku madai yake yakichunguzwa Kama ni kweli. Kakimbia kwasababu za kisiasa, haruhusiwi kujihusisha na Siasa za nchi aliyotoka akiwa uhamishoni (Belgium) amepewa hifadhi kwa muda usiojulikana.
Wacha kudanganya watu , hayo uliyoyaandika kakuambia shoga mwenzako Lugola au uliyaokota wapi?
 
Hii ndio Aina ya Mtanzania asili yake ni ujinga uliokithiri umasikini roho mbaya na kutokufiria anaandika au anasema nini

Sasa unataka tufanyeje kwa hii thread yako nini kifanyike???
 
Back
Top Bottom