Mojawapo ya kazi unazoweza kufanya dubai!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mojawapo ya kazi unazoweza kufanya dubai!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by babu M, Sep 30, 2010.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  article-1285791829761-0B65DB1F000005DC-289518_636x300.jpg

  dubai-window-cleaner-26410767.jpg
  [​IMG]
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwa hali kama hii me nkienda huko nakufa mafikini!
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ilimradi haibi sio mbaya kila mtu anakula kwa jasho lake!:llama:
   
 4. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MBONA USALAMA HAKUNA HAPO, ALITAKIWA KUWA KWENYE CONVEYER.........HIYO NI HATARI TUPU KWA KWELI..

  ila Maria Rose nimependa hicho kiswala kinacho cheza cheza hapo juu...

   
 5. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mambo yenyewe kama ndio hivi bora nirudi kwetu kikalime.
   
 6. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Hatari tupu! Mwajiri wake anapaswa kushtakiwa kwa kumweka mfanyakazi huyu kwenye mazingira hatarishi kwa maisha yake! Hakuna any sort of protection... akiteleza tu, ndio mwisho wa uhai wake!

  Umaskini wa mtu huyu usiwe sababu ya mwajiri wake kumnyanyasa namna hii!

  Dunia tambara bovu!
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kaka nami nipo huku,wahindi na jamaa wengine wa asia wanahenyeshwa vilivyo,kila siku wengi wanakufa makazini lakini falme ya kiarabu ni wazuri sana wa kucheza na media...mishahara sasa mh...
   
 8. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Hili jengo ni mfano wa bad architecture.Majengo yote marefu kama haya yanatakiwa kuwa anchorages or other devices kwenye roof kwa ajili ya suspended equipments kama bosun's chair,single work cage or platform. Pia wangeweza kuweka windows ambazo kuzizungusha OUTSIDE kuwa INSIDE

  Huko Dubai inaonyesha ujenzi wao hauna tofauti na kule Kariakoo mradi jengo lisimame mambo mengine mbele kwa mbele.
   
Loading...