DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 767
Kiukweli kabisa urithi huu ni mbaya maana yaaani chama kinathaminishwa kuliko taifa leo anakuja k/mkuu UN anadharauliwa chama ndo kimepewa kipaumbele mtu aliyekuja kuangalia baa la njaa na ukame wezetu wametumia nafasi hii kidiplomasia kuliko ss kwenda kukimbilia dodoma kwenda kuvuana uanachama na vyeo kisa hofu Ya uchaguzi wa 2020 kama kuna dawa naomba kwa mungu ni CCM ife kabisa ili taifa lisimame