Moja ya Sababu zinazopelekea mkulima kuangukia pua kwa kilimo cha mwanzo

Nyongeza. Pamoja na sababu zilizoainishwa sababu kuu kwa upande wangu ni kukosa maarifa sahihi juu ya zao husika. Mf. Msimu sahihi, magonjwa, aina ya udongo nk.
 
watu wa kujali kazi za wenzao ni wachache sana .... ndiyo maana watu husema uchungu wa mwana hanaujua mzazi
 
Aisee mi hii nimepigwa Mara mbili. Mara ya kwanza nlikodi ekari 10 nkanunua mbegu ya ufuta nkapeleka, then ikawa ni simu tu. Wallah zilitoka debe 3 na sikuwahi muuliza jamaa, na nlimwambia mtu mwingine akachukue auze.
Pili ni mwaka huu, nililima ekari 5 ufuta na mbegu nkanunua, kwa njia hio hio ya simu hadi sasa simpati jamaa, nmeenda shamban sioni kitu na jamaa hakulikan alipo.

Ila kwakua Mimi nimekulia kilimo, hao jamaa nlitaka kuwainua, sasa ntaenda mwenyewe na nitapambana mwenyewe. Sieki mtu tena na sitaki wasogee kabisa. Kilimo cha simu sio wazee.
Hahahahaha dah mkuu kama unaniona vile! Mi ndo mara yangu ya kwanza kulima ufuta, nikaanza na ekari mbili. Nikawa nalima kwa simu. Nimeamua kuachana na kufuatilia maana nimeambiwa mazao yameharibika...siwezi kuongeza gharama kwenda shamba kukagua wakati naona nshapata hasara tayari
 
Kulima ni kupoteza muda na ni wendawazimu. Nasema hivi nikiwa namaanisha nisemacho. Huko ni kwenda kujitia wazimu wa waziwazi.
 
Shukran kwa ukumbusho mkuu, December nitakua Shambani kwangu nikishuhudia upandaji wa miche
 
Kulima ni kupoteza muda na ni wendawazimu. Nasema hivi nikiwa namaanisha nisemacho. Huko ni kwenda kujitia wazimu wa waziwazi.
Sasa wote tukisema hivi mkuu utaishi kweli. Maana unaongea saiv kwa kuwa umeshiba kupitia hiko kilimo unachokiita uwendawazimu.
 
Sasa wote tukisema hivi mkuu utaishi kweli. Maana unaongea saiv kwa kuwa umeshiba kupitia hiko kilimo unachokiita uwendawazimu.

Tunazungumzia kilimo kama sehemu ya kujikwamua kimaisha na sio kushibisha tumbo kwani chakula changu naweza kujilimia.
 
Back
Top Bottom