Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

Kwakweli nawaona wazee

Mmoja Kamanda wa WASIOJULIKANA (Wazee wa noa Nyeusi)

Na mwingine Kamanda wa UVUNJIFU wa AMANI (Wazee wa Kujiridhisha Faili lipo kwenye Uchunguzi)

Kazi iendelee !
Picha nyingi huyo mwenye kipara huwa anakuwa na sura ya mbuzi, hata mbele ya mabosi zake. Kumbe akikutana washkaji wenzake anacheka namna hii
 
Nadhan mfumo wetu upo vzr km vigagula wengine wangekua na tamaa mabeyo peke yake asingeweza wazuia.
Kwani hizo habari ni za kweli kabisa au ni uzushi tu wa watu?

Mimi sina uhakika nazo. Hivyo nazichukulia kama stori tu za kijiweni.
 
Ngabu anawajibu mnavyotaka kusikia, wasio na akili za kushikiwa wanamuelewa Ngabu kirahisi sana.
 
Back
Top Bottom