Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

Kwa hiyo kumbe tatizo sio mfumo ila ni kiongozi anayekuwa madarakani ni kama vile tu mbowe lipumba au mbatia ambavyo huwezi kuwatoa kwenye vyeo vyao sio kwamba mifumo ya vyama ni mibovu ila ni ubabe wao tu.
Maana ukigusa tu kile kiti ndipo utaona moto wao!?
unajaribu kuonja sumu? by mzee sumaye alitaka kugombea uenyekiti akatoka ndukiiiiiiii wange mchacha wangwe
 
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Kawashauri maboga wenzako waache sera zao za ovyo na kipuuzi za kuiba kura na kutumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani, baada ya miaka 60 ya uhuru bado mnachimba mashimo ya vyoo, na mmefanikiwa kufanya maji na umeme ni bidhaa adimu, muone aibu kidogo
 
Wafuasi milioni 7 walionao walipata wapi ambao wanalipa kila mwaka. Kuongea pumba ni rahisi sana kuliko vitendo
 
Kawashauri maboga wenzako waache sera zao za ovyo na kipuuzi za kuiba kura na kutumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani, baada ya miaka 60 ya uhuru bado mnachimba mashimo ya vyoo, na mmefanikiwa kufanya maji na umeme ni bidhaa adimu, muone aibu kidogo
Hivi kwa akili yako unadhani kuna muda tutaacha kuchimba vyoo au unamaanisha watu wajisaidie porini!? Kuhusu nini kimefanyika tangu uhuru hata mimi siridhiki kama ambavyo siridhiki kwa umri wa chadema hawana hata ofisi inauma sana yaani wabunge wamekatwa milioni moja na nusu kila mwezi ruzuku karibu milioni 300 kila mwezi ila hakuna kilichofanyika!!
 
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Umeandika uchafu
 
Kwenye nchi ipi pa kupigia kelele ndugu?. Mbowe alijipinda apige kelele kwenye udhaifu. Umeona alipo?.
 
Hawa wanasiasa wa kibongo wanaohamahama kama mto songwe ndio uwaamini kwamba umesajili mtu!? Wakiahidiwa uteuzi au kupewa kidumu cha pombe wanahama chama hata bila kuaga!!
Waahama watano ,wanaingia 100 shida iko wapi ,? Ndo ujue Chadema sio chama cha mchezo ,watu kibao waliunga juhudi kipindi Cha mwendazake ila bado ilipo fika uchaguzi jinsi Hali ilivyokuwa mbaya wakaiba kura, na niseme bila kuiba kura ccm ilikua ndo Basi tena, Sasa 2025 watajua kuwa hawajui, ya ZAMBIA MPYA YANAKUJA TZ NA HAKUNA WA KUZUIA TENA ASEMA BWANA
 
Ngonjera za kuibiwa kura zinawavunja moyo wafuasi wa upinzani bora muache tu kusema maana kote duniani haya malalamiko yapo
 
Kwa hiyo kumbe tatizo sio mfumo ila ni kiongozi anayekuwa madarakani ni kama vile tu mbowe lipumba au mbatia ambavyo huwezi kuwatoa kwenye vyeo vyao sio kwamba mifumo ya vyama ni mibovu ila ni ubabe wao tu.
Maana ukigusa tu kile kiti ndipo utaona moto wao!?
Kwani CCM buguruni nikisema ni sisiemu nitakuwa na sema uongo? Na je nikisema ccm magomeni ni ccm nitakuwa sahihi au sii sahihi? Mimi jukumu langu nikukuliza maswali ndugu mbambikiaji🤔.
 
Ngonjera za kuibiwa kura zinawavunja moyo wafuasi wa upinzani bora muache tu kusema maana kote duniani haya malalamiko yapo
Haya yapo Tanzania pekee, Dunia iliyostaarabika imetoka huko miaka mingi kama sii vizazi kadhaa vilivyopita🤔.
 
Trump alilalamika kuibiwa kura au hayupo kwenye dunia iliyostaarabika mpinzani wake pia alilalamika kuwa trump alimwibia kura!!
 
Kwahiyo hoja yako hapa ni ipi, binafsi kulalamika huyo uliyemtaja sishangai kwani siasa za Dunia zinaongozwa na marekani, hivyo kulalamika trump kwa kuendesha siasa za marekani kwanza ni uzalendo halisi, ila ziliathiri Dunia pakubwa Kwa mabadiliko ya sera ambazo hazikutarakiwa na kwa ujumla ziliathiri Dunia ila si Kwa sera zetu uchwara za kusimamiwa na wauza ubongo Huku wakijidai wao ni muhimu duniani kuliko wengine.
 
Ninachomaanisha ni kwamba malalamiko ya kuibiwa kura yanakuzwa mno kwa kiwango ambacho hakifanani na uhalisia
 
Hakuna kukuzwa hata wezi kila mwenye akili timamu anaweza kukutajia Moja moja na wote walioshiriki katika haramu hiyo🤔.
 
Back
Top Bottom