Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,390
2,000
Ninachomaanisha ni kwamba malalamiko ya kuibiwa kura yanakuzwa mno kwa kiwango ambacho hakifanani na uhalisia
Hakuna kukuzwa hata wezi kila mwenye akili timamu anaweza kukutajia Moja moja na wote walioshiriki katika haramu hiyo🤔.
 
The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
888
1,000
Hakuna kukuzwa hata wezi kila mwenye akili timamu anaweza kukutajia Moja moja na wote walioshiriki katika haramu hiyo🤔.
Nakubali kuwa wizi wa kura upo ila sio kwa kiwango ambacho wapinzani wanajaribu kutuaminisha kwa uzoefu mdogo nilio nao wapinzani mpaka sasa kwa umoja wao hawajawahi kusimamisha wagombea majimbo yote ya uchaguzi kwa sababu hiyo bado ccm wana advantage ya udhaifu huo. Kwa hiyo jambo muhimu la kufanya badala ya kuendelea na operation uchwara wanapaswa kwenda kwenye majimbo hayo kupiga kelele huko ili raia walioko huko wawajuwe ajenda zao na dhamira yao
 
Kwa ushetani wanaofanyiwa huna macho, ya kuona je nayo masikio huna, au nawe sehemu ya muhimili wa uovu🤔
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,033
2,000
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
CDM sikilieni hapo hapo !
 
The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
888
1,000
Waliopewa jukumu la uenezi wa chama kijani nao walishafeli zamaani, Sasa una Nini kilicho saliamoo.
Unajua kuinyoshea vidole ccm kutatuchelewesha zaidi mchawi wa wapinzani ni wapinzani wenyewe maana ccm haina jukumu la kujenga upinzani!
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,507
2,000
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Ubongo wako ni mdogo sana kuelewa hii move!
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,390
2,000
Usipanic twende taratibu kwani ni jukumu la ccm kujenga au kuimarisha upinzani!?

Kipimo cha ukubwa au udogo wa ubongo sio haya maneno yako bali ni matokeo na ufanisi wa hii operation
Haina jukumu la kuuimarisha ila kuuhujumu Kwa lengo la kuutokomeza bila kujali rasilimali zinazotumika iwe kwa halali au haramu sio?
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,507
2,000
Usipanic twende taratibu kwani ni jukumu la ccm kujenga au kuimarisha upinzani!?

Kipimo cha ukubwa au udogo wa ubongo sio haya maneno yako bali ni matokeo na ufanisi wa hii operation
Ishu sio ya CCM kuimarisha upinzani..ishu ni kufuata katiba iliyopo na kuruhusu haki ya kikatiba ya kila chama kufanya shuguli zake kisiasa na kuachia watu waamue wanataka waongozwe na nani... lakin sina wasiwasi, kwasababu mama yenu anapenda misaada muda si mrefu atasikiliza wafadhili wanataka nini na mtajikuta mmekubali katiba mpya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom