Moja ya makosa makubwa niliyofanyaga

Pole sana mkuu.

Kabla ya kufanya maamuzi yoyote hakikisha huna chuki wala hasira kila siku utakuwa unafanya maamuzi chanya.
 
Pole sana mkuu.

Kabla ya kufanya maamuzi yoyote hakikisha huna chuki wala hasira kila siku utakuwa unafanya maamuzi chanya.
Ndugu yangu ndo mara ya kwanza kusalitiwa hiyo...nilikuwa napasuka kwa hasira
 
HISTORIA YA MWANADAMU INA MENGI SANA MKUU HADI IKAMILIKE.CHA MUHIMU NI KUJIPA MOYO NA KUSONGA MBELE
 
Usijihukumu cha muhimu umegundua kuwa ulifanya kosa forgive yourself first and ask God for forgiveness,ikiwezekana mtafte Hugo Dada umuombe msamaha na maisha yaendeleee
Ohooo namuonaga ila napitaga mbali sana coz najisikia vby sana kwakweli
 
Back
Top Bottom