Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

That's Tanzania and politics for you Nape, Mwanahalisi have you on the front page ...nahisi na habari corporation inakanusha as well...

Maji ukiyavulia nguo...

Am glad statements are now counter checked ...ukiwa mwanasiasa u have to control ur mouth, ur actions ur...list is endless
 
Mbona huo ni moshi tu Nape! bado hujaona joto na hatimae moto. Tulikuambia uko kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe nawe mwana hukusikia tuliyokwambia balaa utatuletea nyumbani. That day is soon coming, if you are complaining by only seeing smoke i guess the temperature of the fire will push you out of that nest. You will run all over screeming like bitten dog (bita ni bita mura fumilia umeianzisha wakipiga jibu mapigo)
 
Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
katika yote uliyokuwa umeongea kipande hicho ndo kilikuwa chenye maana mengine yote yalikuwa porojo kwakuwa hukujibu kiu ya watu walichotaka kujua nini hasa kimefanyika katika siku 90 mlizotoa wewe badala ya kujibu swali uliloulizwa ukaanza porojo shukuru kibonde ni mfuasi wenu na redio yao ni wapambe wenu angekuwa mwingine nadhani angerudia swali huenda hukulielewa waombe tena leo urudie kujibu maana hata chuoni ukifeli unafanya sup!!
 
He's trying to outfit from impracticable assertions that he stood aggressively against few names in his party and now lonely will see appealing to mass rallying behind his back.
Its late for him to hold that there are party members who are strangulating him....why it must be now and for what cause?
NAPE u'll never realize yr stupidity save for failure.
 
asema jkni sehemu yachimbuko la migawanyiko inayokikumba chama chake,."pamoja na kwamba hatuwezi kumwajibisha mwenyekiti kwa sababu ni wajibu wetu kulinda hadhi yake,lakini nayehawezi kujinasua katika tuhuma za kuvurugika kwa chama chetu hadi kufanya vibaya katika uchaguzi mkuu uliopita"..MWANAHALISI,JULAI 13,2011
 
Katika mazungumzo kati ya Nape na Bashe,yaliyofanyika wiki iliyopita pale New habari sinza,Bashe anaonekana kupinga wazo la kuwafukuza mapacha watatu kwa madai kwamba matatizo ya CCM hayawezi kumalizwa kwa njia hiyo.Alisema Nape mnacho kifanya ni unafiki na hakiwezi kumaliza matatizo yetu.Tutaendelea kutafunwa na makundi hadi tumalizike.Kufika hapo ndipo nape akasema wote tunamakosa na kama tunataka kuokoa hiki chama hatuwezi kurudi nyuma.Nilazima waondoke.Kuhusu hilo,Bashe amesema anachokifanya nape nikutaka kuingiza mgombea wake ikulu mwaka 2015.Naye alijibu kuwa anamsimamo,hayumbi kwa analolisimamia.
 
Huyu dogo kweli kilaza, kaenda New Habari Corporation ambapo ni ngombe ya watu anaowatuhumu kuwa ni mafisadi wanaostahili kufukuzwa CCM, pale wenzake walimchomekea maswali ya kizushi kwa kumwelewa yeye ni kichwa cha kuku hakawii kuropoka, na kweli akaingia kichwa kichwa kusema kuwa chanzo cha mtafaruku wote unaokikabili CCM ni mtandao uliomuingiza JK ikulu. Hakuishia hapo akaenda hatua moja mbele zaidi kuwa wote waliohusika lazima wavuliwe gamba ikimaanisha kuwa na JK ang'oke.Sasa alaumiwe nani wakati karopoka mwenyewe?Dogo umefurahia cheo hicho lakini ujue umewekwa kikaangoni, kifupi umeingia choo cha kike.
 
Naukizingatia kuna upuuzi ameongea na bashe naona mwana halisi wametoa kama walivyoongea"kuwa kikwete naye ajivue gamba,asema ndiyo chazo cha matatizo"
 
ingeshangaza sana JK kuwekwa kando na mvurugano huu wa CCM
jk ndiye wa kulaumiwa zaidi ya hao mapacha kwa kuidhoofisha ccm
 
CCM imeshakufa, na dhana ya umagamba yaltekelezeki. sioni kama CCM ya Lowassa inaweza kukaa meza moja na CCM ya X-CCJ founders. ni bora chama kisambaratike sasa hivi wajipange upya kuliko kusubiri 2015 wakati wa kutafuta mgombea urais hapo itakuwa too late.

Movie imefika patamu sana hapo!!!.
 
Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.


ndugu nape mimi sikufanikiwa kukusikiliza lakini je huoni wewe utakuwa mmoja kati ya watu tutakaowalaumu kwenye nchi hii, hivi ni kwanini mnatufanya sisi watanzania wajinga azima ya kujivua gamba ilikuwa ni kuwaondoa mafisadi ndani ya chama sasa leo hii hatujaona hata mmoja akivuliwa bali tunaona juhudi za kuwavisha mchakato wa kuja kuchukua utawala wa nchi hii. kama kweli wewe ni kweli, jasiri na kijana anayejali vijana wenzake wanaotoka kwenye familia masikini basi onyesha utekelezaji wa kili ulichokua unakihubiri kwenye vyombo vya habari.

binafsi nape nilikuwa sikufahamu ila kipindi cha zabuni ya kujenga jengo la CCM vijana ndipo nilipoanza kukusikia zaidi kwani ulisimamia vizuri dhidi ya ulichokiona ni ufisadi kwenye ujenzi huo. toka hapo niliona wewe ni kijana shupavu na uliweza kupinga kwa uwazi mambo ndani ya chama chako bila kuogopa tofauti na wengi ambao huwa wanakaa kimya wakiogopa mkate wao kutoweka na kuwa popo wakisahau wna ndugu na jamaa zao wanaoteswa na mfumo wa uongozi uliopo. kwa sas nape naona kama umekutana na kisiki cha mpingo na umegonga mwamba wa volkano na sasa pole pole unajivua lili gamba lako zuri na kuvaa gamba jipya mabalo muda si mrefu litakupoteza.

Nape ushauri wangu kwako ni kwamba si lazima uwe mwansiasa ndio utasaidia jamii zipo njia nyingi kwa hiyo kama matakwa yako hayatimilizwi una chagua mbili aidha kuachana na CCM au Kuondoka kwenye siasa, kwa hayo nadhani yatakuweka huru na utaheshimika.

Be adviced my friend.
 
Anachofanya Nape ni kukiingiza chama kwenye mgogoro mkubwa ambao kusuruhisha haitawezekana labda hadi Nyerere arudi, CCM wangekuwa makini wangesimamisha uanachama wa Nape
 
Back
Top Bottom