Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji...

Pepsi ni noma,nzuri sana hasa ya baridi........Inaleta energy ya kutosha!! Piga Supu na chapati mbili kisha shushia na Pepsi baada ya nusu saa piga lita yako ya Hill water!! Mchana Piga Wali au Pilau Kuku kisha shushia na Pepsi baridi..Usiku Piga Nyama choma na Zege kisha shushia na Pepsi..alafu baada ya miezi 6 utanipa majibu.

 
new formula(ladha) ya coca cola haipendwi na watu wengi na mshindani wa coca ni pepsi so watu wengi wametoka kwa coca kwenda pepsi
Naunga mguu hoja Coke ya Sasa ni hovyo kabisa imekosa ule msisimko, Pepsi ukipata ile ya chupa hasa ya baridiioo Tami Hadi kumoyo tamu hadi unasisimka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom