Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 751
Angalau huyo ameonekana kuwa mpiganaji kwa maana ana POP... wazi inaonekana kulikuwa na MBINDE huko... lakini wengine sijawaona angalau na vijimikwaruzo:smile-big: Maana huyo hata wakimshinda kwa kesi ya UCHAGUZI atawashinda kwa ya KUMJERUHI:tape:
Nguvu zina mwisho wake iko siku mambo yatageuka tu mie nina mpango wa kugombea jimbo la nitakapohamia siku za usoni pale Kigamboni 2015 kwa tikiti ya CHADEMAHiyo ( POP ) ni matokeo ya nguvu za ziada JK alizosema zimetumika kwenye sehemu zenye upinzani mkali.