MOI yaishiwa dawa

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Ya Leo kali. jamaa yangu anauguliwa pale hospitai ya Muhimbili @ MOI wameishiwa dawa ya usingizi na wagonjwa hili wafanyiwa upasuaji lazima wapatiwe dawa ya usingizi .Kwa sasa dawa hizo hakuna.Twafa bajamee
 
Tukiwaambia CCM imepoteza uhalali wa kuongoza mnasema tunataka nchi isitawalike. Kama muhimbili kioo cha jamii imeishiwa dawa, je zahanati ya pale Yakobi Njombe au Iselamagazi Kishapu itakuwaje?? Hawa MaCCM hata shetani hayapendi, shetani mwenyewe anashangaa inakuwaje kiongozi anashindwa kusimamia huduma basic kama ya kutoa dawa kwa wagonjwa na keshokutwa kiongozi huyo huyo atatoa chozi kwenye mazishi ya Mandela
 
Ya Leo kali. jamaa yangu anauguliwa pale hospitai ya Muhimbili @ MOI wameishiwa dawa ya usingizi na wagonjwa hili wafanyiwa upasuaji lazima wapatiwe dawa ya usingizi .Kwa sasa dawa hizo hakuna.Twafa bajamee
Je hali hii kama imeikumba MOI vip kwengine
 
1387004309829.jpg

Na hii Adha pia ipunguzwe..
 
Back
Top Bottom