Mohammed Mtonga ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL akichukua nafasi ya Omari Nundu aliyeteuliwa kuwa Mwenyekiti Bodi ya Airtel-Tanzania

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
IKULU: Rais Dkt. John Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuanzia leo Juni 12,2019.
IMG_20190612_113527.jpeg
 
JPM ni kati ya Marais Tata kuwahi kutokea duniani, katika mazingira magumu, ya Rushwa na ukwapuaji wa Mali za Umma amepambana kuirudisha Ttcl na Airtel mikononi.
Screenshot_20190612-114339.png
 
Safi sana Mh Rais tutaongea lugha moja wote muda si mwingi.
 
Back
Top Bottom