Mohammed Dewji: Si sahihi kusema Kada ya Kati imekua wakati sio kweli

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mohammed Dewji

IMG_2146.jpg
 
Hiyo kada ya kati au 'middle class income' (asante MO kwa kurahisisha Kiswahili) sio kuwa na pesa tu mfukoni bali pia uelewa wa mhusika.

Alafu unaweza kuwa na kada hii huku wengi wakitegemea mfano pesa za madawa ya kulevya na rushwa za maofisini, hiyo ni hatari pia.

Kada hii inakuwa sahihi kutokana na usahihi wa watu na usahihi wa njia za uzalishaji na sio ujanja ujanja na kuwa manamba kwa wengine!
 
Kila binadamu usema au ujibu kitu kutokana na mwisho wa uelewa wake au ufahamu wake mfano kuna watu ukiwauliza nitajie mtu tajiri wengine watataja baba zao wengine watakutajia Bakhresa wengine watakutajia Dangote wengine watakutajia Bill Gate wengine watakutajia Rothschild family na wengine watakutajia Mansa Musa wa iliyokuwa Mali Empire jamaa ndo anasadikiwa kuwa binadamu tajri aliyeishi juu ya uso wa dunia mpaka leo hakuna aliyevunja record yake kwa utajiri

So kama nilivyosema kila mtu anajibu kutokana na ufahamu wake unapoishia leo middle class wa Europe ni tofauti na wa Asia na middle class wa America ni tofauti na wa Europe au Asia au Africa kila sehemu ina viwango vyake vya mtu kuitwa ni Middle class ni kama Tajiri sisi tunaemwita Tajiri akienda sehemu nyingne anaitwa Middle class tu sasa mtu anapokuja na data za Middle class wa Europe na kusema ni sawa na wa Africa anakuwa ujawatendea haki watu unaowazungumzia ,mazingira,akili yako na uelewa au upembuzi wa mambo mfano mdogo ambao auitaji degree ya uchumi bt unaitaji macho tu mtu aliyekufa mwaka 1970 akifufuka leo ukamtembeza DSM ya leo na maendeleo ya mtu mmoja mmoja kuanzia majengo,miundombinu,makazi ya watu je atasema middle class ya kiafrica au kitanzania inaongezeka au inapungua kulinganisha na wale walioitwa middle class wa mwaka 1970 alipokuwa yeye???
 
Serikali ya CCM imekuwa ikitengeneza kada ya kati fake na ukuaji fake wa uchumi kupitia wizi wa mali ya umma na mikataba fake ya uwekezaji. Ilifika hadi kutengeneza gharama kubwa za kodi za nyumba,ada za shule ,bei za viwanja na gharama nyingine za bidhaa na huduma,kumbe kada ya kati yenyewe ni yamajitu machache tena majizi. Eti halimashauri inauza kiwanja cha makazi 10m,20m au 30m na kutoa 14 days mnunuzi awe amamaliza deni,hivi huyo mnunuzi unayemlenga unategemea awe Mwalimu, dakitari, nurse au kalani kweli au mpiga deal? Kwa mshahara gani haswa kama sio kujengea watu tabi ya wizi ili kujikwamua? Kwanini kusiwepo na payment plan kwa watu wenye vipato tafouti ili angalau kila mtu akajipatia makazi bora kwenye eneo bora (lililopimwa)?
Mimi naamini nchi hii middle class haifiki hata 3% maana hiki kilio cha hali ngumu tangu serikali ya awamu kuanza ni kila kona,ni dhahiri tulikuwa tukiishi nje ya vipato vyetu halali.
Kutengeneza middle class si mchezo na kwa mwenendo wa serikali hii hakuna dalili wala tumaini lolote zaidi ya kufifisha tu.
 
Kila binadamu usema au ujibu kitu kutokana na mwisho wa uelewa wake au ufahamu wake mfano kuna watu ukiwauliza nitajie mtu tajiri wengine watataja baba zao wengine watakutajia Bakhresa wengine watakutajia Dangote wengine watakutajia Bill Gate wengine watakutajia Rothschild family na wengine watakutajia Mansa Musa wa iliyokuwa Mali Empire jamaa ndo anasadikiwa kuwa binadamu tajri aliyeishi juu ya uso wa dunia mpaka leo hakuna aliyevunja record yake kwa utajiri

So kama nilivyosema kila mtu anajibu kutokana na ufahamu wake unapoishia leo middle class wa Europe ni tofauti na wa Asia na middle class wa America ni tofauti na wa Europe au Asia au Africa kila sehemu ina viwango vyake vya mtu kuitwa ni Middle class ni kama Tajiri sisi tunaemwita Tajiri akienda sehemu nyingne anaitwa Middle class tu sasa mtu anapokuja na data za Middle class wa Europe na kusema ni sawa na wa Africa anakuwa ujawatendea haki watu unaowazungumzia ,mazingira,akili yako na uelewa au upembuzi wa mambo mfano mdogo ambao auitaji degree ya uchumi bt unaitaji macho tu mtu aliyekufa mwaka 1970 akifufuka leo ukamtembeza DSM ya leo na maendeleo ya mtu mmoja mmoja kuanzia majengo,miundombinu,makazi ya watu je atasema middle class ya kiafrica au kitanzania inaongezeka au inapungua kulinganisha na wale walioitwa middle class wa mwaka 1970 alipokuwa yeye???
Kwani MO anaishi Europe au hapa Tanzania?

Dolali 20 kaka ni sawa na 42,000 za Madafu. Mo yuko sahihi kabisa.
 
Mkuu Mo katoa na mfano mzuri tu wa 10 to 20 dallars kwa siku ambayo ni sawa na Tshs 20,000 to 40,000 roughly,nafikiri hivi vipato alivoongelea vinahakisi uhalisia wa mazingira ya uchumi wetu,ulaya na marekani middle class zao ni zaidi ya 10 to 20 dollar a day.
 
Unaweza kuishi Africa lakini mawazo ,akili na matendo yako yakawa kama unaishi Europe je majitu yanaposema mbona UK au US wanafanya hv au pako hv huwa wanaishi wapi??? na pia Tafiti zinapigwa na Tafiti si maneno maneno hyo ni Tafiti ndo inasema middle class inaongezeka kwa Africa sasa Mo kafanya lini utafiti na kujua aiongezeki???
 
Ulianza vizuri ila kwa mfano wako mwishoni umeharibu

Bora ungepita kama mimi
 
Tatizo lako mkuu unaongea kama mwanasiasa,mwanasiasa daima hapendi kuambiwa ukweli.Mo ni mfanyabiashara na msomi na amaajiri watu wengi tu Africa hii. Kujua middle class imekuwa,ndogo au kubwa ni rahisi tu,njia rahisi kwa mfanyabiashara wa aina ya Mo ni kuangalia spending patern ya watu. Nakumbuka Ali Mfuruki aliwahi lalamikia udogo wa middle class hapa nchini kiasi kulazimika kufunga baadhi ya maduka yake ya high end products na kuyaamishia kampala na Nairobi.
Ukiangalia Nairobi kuna maduka mengi ya high end products sababu ya bulging middle class yaani watu wanamudu kununua. Kama umetembea kidogo angalia/kumbuka wakati Mr price outlet inakuja bongo walikuwa na bidhaa nzuri na bora kama za Mr price south Africa ,lakini leo nenda pale Mr price Mlimani angalia zile bidhaa halafu fananisha na za Mr price south Africa utagundua kitu.
 
Ulianza vizuri ila kwa mfano wako mwishoni umeharibu

Bora ungepita kama mimi
Si lazima mawazo yangu yafanane na ww na mfano niliotoa ni mfano mdogo sana na ni mfano ambao unaitaji macho si ufahamu wa jambo(uchumi) au akili na Tafiti hyo inaelezea kuwa Middle class wameongezeka Africa na maana ya kuongezeka unajua ??? yani kama walikuwa 20 mwaka 2010 na mwaka 2016 wamefika 40 huko ndo kuongezeka sasa inawezekana ww ukawa na maana mpya juu ya tafasiri ya kuongezeka na kitu kingine Utafiti unapigwa kwa Utafiti si maneno maneno leo Mo ajitokeze atuambie kafanya utafiti lini mpaka kuja na data zake hzo?? na atuambie je mwaka 1990 utajiri wa METL ulikuwa ni kiasi gani na leo mwaka 2016 ni kiasi gani kama umeongezeka kwa nn hapinge juu ya kuongezeka kwa middle class Africa???
 
Kila binadamu usema au ujibu kitu kutokana na mwisho wa uelewa wake au ufahamu wake mfano kuna watu ukiwauliza nitajie mtu tajiri wengine watataja baba zao wengine watakutajia Bakhresa wengine watakutajia Dangote wengine watakutajia Bill Gate wengine watakutajia Rothschild family na wengine watakutajia Mansa Musa wa iliyokuwa Mali Empire jamaa ndo anasadikiwa kuwa binadamu tajri aliyeishi juu ya uso wa dunia mpaka leo hakuna aliyevunja record yake kwa utajiri

So kama nilivyosema kila mtu anajibu kutokana na ufahamu wake unapoishia leo middle class wa Europe ni tofauti na wa Asia na middle class wa America ni tofauti na wa Europe au Asia au Africa kila sehemu ina viwango vyake vya mtu kuitwa ni Middle class ni kama Tajiri sisi tunaemwita Tajiri akienda sehemu nyingne anaitwa Middle class tu sasa mtu anapokuja na data za Middle class wa Europe na kusema ni sawa na wa Africa anakuwa ujawatendea haki watu unaowazungumzia ,mazingira,akili yako na uelewa au upembuzi wa mambo mfano mdogo ambao auitaji degree ya uchumi bt unaitaji macho tu mtu aliyekufa mwaka 1970 akifufuka leo ukamtembeza DSM ya leo na maendeleo ya mtu mmoja mmoja kuanzia majengo,miundombinu,makazi ya watu je atasema middle class ya kiafrica au kitanzania inaongezeka au inapungua kulinganisha na wale walioitwa middle class wa mwaka 1970 alipokuwa yeye???
Umemaliza na swali ili ujibiwe na MO au sisi?
 
Mkuu Mo katoa na mfano mzuri tu wa 10 to 20 dallars kwa siku ambayo ni sawa na Tshs 20,000 to 40,000 roughly,nafikiri hivi vipato alivoongelea vinahakisi uhalisia wa mazingira ya uchumi wetu,ulaya na marekani middle class zao ni zaidi ya 10 to 20 dollar a day.

Mkuu mfano Marekani middle class ni mtu anayeingiza kati ya dola laki moja hadi laki tano kwa mwaka. K
 
MO yuko sawa, $10~20 kwa siku ni middle class kwa Afrika. Hiyo ni 20~40K kwa siku, sio pesa hiyo, kwa mwezi hata 2M haifiki, in short ni pesa ya kujiimu mahitaji madogo madogo tu, kuhakikisha angalau unakula na sehemu ya kukaa basi. Mtu wa namna hiyo kwa nchi zilizoendelea sio middle class, bado yupo low class. Middle class nje labda kuanzia $100+ kwa siku, ambaye anabisha aende nje aone, hata mbeba maboksi anaweza ingiza $60+ per day. Exception ni China, India kwa kua vitu bei iko chini sana kule, you can survive with little money.
 
Back
Top Bottom