Mohamed trans,taqwa,master city na sumry zapigwa ban na sumatra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mohamed trans,taqwa,master city na sumry zapigwa ban na sumatra

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Dec 1, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mamlaka ya usafirishaj nchi kavu na majini(SUMATRA)imeamua kuyafungia mabasi ya kampuni ya SUMRY,TAQWA,MOHAMED TRANS na MASTER CITY kutokana na kusababisha ajali,adhabu hiyo itaanza nov 19 mwaka huu.
  TAQWA imekumbana na kiama hicho kutokana na ajali yake ya hivi karibun ambapo watu 18 walifariki baada ya kugongana na lori la Azam,nalo mohamed trans lilipata ajali maeneo ya picha ya NDEGE
  sosi:MWANANCHI
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwani hizi ajali si ni "kazi ya Mungu"? Sasa mabasi yanafungiwa kwa nini?
   
 3. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  safiii..wasiishie hapo madeleva na wamiliki wa mabasi nao inabidi wakapimwe akili ya barabarani.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  tarehe 19/11 ya mwaka gani? Leo ni Decemba mosi
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  It meanz yalishafungiwa labda walitaka kuutaarifu umma,au typing error za mwandish,
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bado hakuna sheria ya kuwabana madereva wala matajiri
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Waweke sheria ngumu,
   
 8. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  azam nao wamefungiwa?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ripot ya police ya ajali ya taqwa inasema chanzo cha ajali hyo ni UZEMBE wa dereva wa BASI!
   
 10. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapana, Yehova Mungu ambaye mimi ninamwabudu na kumtumikia, siyo chanzo/kisababishi cha ajali.
  BWANA wetu Yesu Kristo apewe sifa na watu wote waseme Amina.
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Duh, Jana nimesafiri na Sumry. Naomba mtuambie ni mabasi ya kwenda wapi na wapi? Au labda amri hiyo inaanza mwakani.
   
 12. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mtani aliahidi atarudi mpaka leo hatumuoni. Mwambieni arudi tu. Mayahudi wa zamani sio sawa na hawa wa siku hizi.
   
 13. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mh nina mashaka na hilo kwani jana nimesafiri na mtl kutoka mwanza au ni mwakani???
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  ngoja niingie kwenye web ya TFF
   
 15. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  mbona yapo barabarani
   
 16. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sumry mbona bado iko barabarani
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ni dec 19,labda ni typing error ya gazet
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nadhan had kamat ya utendaj ikae
   
 19. u

  utantambua JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaona raha sana kukashifu imani ya mwenzako? Unadhani sisi hatuwezi kukashifu imani yako? You need to grow up!
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Unaweza kulieleza jukwaa iman ya jamaa
   
Loading...