Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Hapo ni kwamba 6. Wiljudin, 7. Mane, 8. Coutinho, 9. Origi, 10. Firmino, 11. Salah. Mnapotezwe kiungo hamtaamini nakuambia na huyu Coutinho na Wiljudin watapata wakati mgumu sana kupeleka mipira mbele
Weweee. Kwa mpira wa the Cops. Tatizo letu ni fullbacks (R,L) na CB. Tungempata mholanzi acheze na Martip hakiya Mungu mngekoma.
 
Weweee. Kwa mpira wa the Cops. Tatizo letu ni fullbacks (R,L) na CB. Tungempata mholanzi acheze na Martip hakiya Mungu mngekoma.
Yaan kwa wachezaji mlionao mpaka sasa naona mnaweza kucheza 4-1-4-1. Ila sasa sijui kama itawafaa kwa kweli, maana hiyo formation Chelsea na Spurs walianza nayo mambo yakataka kuwa si mambo wakabadili
 
Kumbuka pia kuna Naby Keita (Mguinea anacheza bundesliga) anakuja anfield.
Msimu huu hatukuwa na kikosi kipana.Tulichoka mapema.
Kwa mfumo wetu ( tunakimbia sana) tunachosha wachezaji.
Liverpool akicheza mechi kwa interval ya siku 3 anafungwa sana.
Mpumzishe siku 5 uone.
 
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.

Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .

Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .

Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.

Asante sana mkuu.huyu mshkaji ni balaa,,,anastahiki kupewa tuzo ya uchezaji bora Afrika hata 10 seasons.jamaa amekamilika
 
Sijui ilikuwaje Chelsea tukamuuza. I guess the competition was stiff. Na hili sasa linaweza kupelekea tukampoteza mtu kama Willian. Benchi halimfai kabisa.
Wakati ule ndo alikuwa mkali zaidi, akiwa Basel aliwafunga Chelse bao mbili kwa kasi ya ajabu akitoke wingi ya kushoto. Liverpool walipomtaka, Morinho akajua ni balaa linakuja. Liverpool walitoa mil 8, Morinho akatoa mil 9, Liverpool wakatoa mil 10, Morinho akatoa mil 11......Liverpool wakaachana nae.
Morinho akamtuliza bench.
 
Liverpool walitoa mil 8, Morinho akatoa mil 9, Liverpool wakatoa mil 10, Morinho akatoa mil 11......Liverpool wakaachana nae.
Chelsea ni wataalamu wa kufakamia na kuharibu deals za watu. Hata Willian walimchukulia Airport on his way to Tottenham. Pedro pia alikuwa aende Man Utd ila jamaa wakawahi juu kwa juu.
 
Weweee. Kwa mpira wa the Cops. Tatizo letu ni fullbacks (R,L) na CB. Tungempata mholanzi acheze na Martip hakiya Mungu mngekoma.
Na kiungo asili mkabaji....staili ya mascherano....but nashukur tuna keita...anakuja...YNWA
 
Back
Top Bottom