Mohamed Gire achangia kampeni ya Mccain

Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
111
hizi ndizo akili ninazotaka mimi. Tukisign patition Macain atarudisha tu hasa tukimkopi pia mgombea wa democrat katika kumshurutisha macain arudishe hizo fedha za fisadi anayeua mamilion ya watu hapa tz
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,929
287,587
Mmoja kati ya wale watu waliohusika na ile kashfa ya Ricmond , Mohamed Gire , amecontribute kiasi cha dola mia tano kwenye campaign ya John Mccain . Nilikuwa nafikiria ni jinsi gani tunaweza kufanya ili hela zirudishwe kwake lakini zaidi tuexpose huyu mtu for who he is .

http://www.newsmeat.com/fec/bystate_detail.php?city=Houston&st=TX&last=gire&first=mohamed

Fisadi mkubwa huyu! Haya ndio mapesa yetu $172 milioni waliyolipwa bila kufanya kazi yeyote. Tuwaombe US hawa warudishwe Tanzania na account zao zifungwe ili pesa hizo zirudishwe katika mfuko wa hazina.
 

John Mnyika

JF-Expert Member
Jun 16, 2006
712
1,237
hizi ndizo akili ninazotaka mimi. Tukisign patition Macain atarudisha tu hasa tukimkopi pia mgombea wa democrat katika kumshurutisha macain arudishe hizo fedha za fisadi anayeua mamilion ya watu hapa tz

This NVP is great. Ngoja nivute kikombe changu cha chai nisubiri matokeo.

JJ
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
175
Inabidi watumiwe watu wa Dems, report ya Mwakyembe hiko ya kiingereza?
Nimeongea na mhusika mmoja wa kwenye campaign camp hapa anasema kama ikiwezekana tumtumie copy zote zenye direct link na Mohammed Gire.
Mwenye nazo nicheck PM
 

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
929
Guyz kuna mtu anaweza kutupatia report ya Mwakyembe kwa kingereza, nataka kucheki couple of media za pale Houston, TX na stream line media can always report this mess.
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
10,655
6,384
hela haiwezi kurudi hata kwa uchawi... 4get it

thubutuuuu
we angalia picha uone kama stering hajatumwa kwenda kuchukua chetu.

Hapa ina bidi ktk mapokezi ya kichaka pawepo na mabango yanayoitaka US imrejeshe gere achezee kipondo kwa kutufanya maluuni.

Ninaunga mkono kuanzishwa kwa petition kuhusu mccain kujiengua au awe listed kama mtumia jasho letu pasina kulipia kodi TRA.
 

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
kweli kabisa tutume hii issue to obamas campaign manager...mafisadi wajinyeee..lol
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,342
38,997
Kwanza pokeeni salamu kutoka Dodoma!!! Pili, ripoti haiko kwenye Kiingereza kwa sasa, lakini watu wa UDSM wanaifanyia kazi kuiweka katika Kiingereza. Hivyo pindi ikikamilika itapatikana.
 

Maswali

Member
Nov 14, 2007
24
6
Huyu jamaa naona anajaribu kununua political clout kwa yeyote atayekuwa kiongozi. Yeye ni opportunist anayetaka kuendeleza biashara zake bila kujali lolote lingine.Sitashangaa kama alitoa mchango mkubwa kwa CCM wakati wa uchaguzi na matokeo yake tunayajua. Kuna mtu yeyote anajua kama huyu jamaa alitoa mchango kwa CCM?

Angalieni hii article ya Mr. Gire. Wanasema kampuni yake ya printing imekuwa kwa 25% kibiashara na ilitengeneza $5 million...

http://www.bizjournals.com/houston/stories/1998/09/14/focus1.html

Halafu naona wanadai kampuni yao ina projects worth $500 million in US. See below
http://www.rdevco.com/financialstatement.html
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom