Tanzania ardhi yote ni mali ya serikali ya ccm mtu hawezi kumiliki ardhi TZKwahiyo ukinunua gari ukapaki nyumbani huendeshi unyang'anywe? Ukinunua TV ukaiweka ndani hutazami unyang'anywe?! Hivi mwenye mali si ndiye ana amua ni lini na kwa vipi atumie mali yake? Wewe ukimuuzia mtu nyumba unataka lazima alale humo? Tutumie akili huyu ntu alinunua kihalali kwanini anyang'anywe mali zake?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanataka vyote mashamba, pesa aliyotumia kununulia na kodi pia.Naomba kuuliza,hivi hayo mashamba walioewa bure?Kama siyo bure,kwanini mtu akishindwa kuendeleza shamba alilonunua ananyang'anywa?Kwanini asipewe hela yake aliyonunulia?
Hiyo ipo wazi watekaji wa wananchi ni hawa hawaAnyway, sijui bhana lakini picha ninayopata hapa ni uthibitisho kwamba Mo alitekwa na serikali!
Kwasababu kisheria ardhi yote ni mali ya Serikali ni si ya mwananchi, Haijalishi umeinunua kwa shilingi ngapi, na haijalishi una docs kiasi gani za kuhalalisha umiliki wako, bado ardhi yote ni ya serikali na hivyo wana maamuzi ya kukunyang'anya wakati wowote wakijisikia, maana ni yao.Naomba kuuliza,hivi hayo mashamba walioewa bure?Kama siyo bure,kwanini mtu akishindwa kuendeleza shamba alilonunua ananyang'anywa?Kwanini asipewe hela yake aliyonunulia?
Amerudishiwa hela alizonunua hayo mashamba? Pili kwa kawaida serikali inaandaa mazingira wezeshi kwa wananchi katika kufanya shughuli za uzalishaji,na kuwawezesha kimkopo,serikali hii kila kitu kodi,kila taasisi utakayofika ili kuanzisha mradi kodi,kodi,kodi,kodi,Hivi hao Mapebari Na Mabwanyenye wa Ulaya unaowatolea mfano walipokuwa wanamiliki Mashamba makubwa waliyatumia kwa Uzalishaji Au waliyaacha mapori tu kwa Miaka mingi?
MO angefanya Kama walivyofanya Mabepari wa Ulaya kwa maana ya kuyatumia kwa kuzalisha nani angempora?
Mo kanyang'anywa Mashamba kwa kushindwa kuyaendeleza Au Nyie mnaona ingefaa yaendelee Kuwa Mapori?
Tanzania ilipata nuksi na mkosi mkubwa mno 2015Baada ya kumaliza kuongea na wandishi wa habari kuhusu masuala ya timu ya Simba,Mwananchi alifuata kutaka kujua hatima ya mashamba yake
Mo akajibu"Hili suala la mashamba tuliache tu,ni kumuachia mungu"
My take :Hii kauli inaashiria maumivu anayopata Mo kutokana na vitendo vinavyofanywa na awamu hii ya 5,mara atekwe mara anyang'anywe mashamba,mara accounts zake zikaguliwe
Wakati ulaya na marekani serikali ziliwasapoti mabourgeoisie,wakaleta mapinduzi ya viwanda ulaya na marekani huku Tanzania wanaonwa kama ni watu hatari sana
Nani asiyejua mabourgeoisie kipindi cha marcantelism mbinu walizotumia kuacumulate wealth,hazikuwa fair,lakini hao ndo walisababisha ulaya kuwa kama ilivyo sasa ambayo kila mwafrika anatamani aishi ulaya
Ujamaa haujawahi kushinda duniani
2020 twende na Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya mashart?Naomba kuuliza,hivi hayo mashamba walioewa bure?Kama siyo bure,kwanini mtu akishindwa kuendeleza shamba alilonunua ananyang'anywa?Kwanini asipewe hela yake aliyonunulia?
Amerudishiwa hela alizonunua hayo mashamba? Pili kwa kawaida serikali inaandaa mazingira wezeshi kwa wananchi katika kufanya shughuli za uzalishaji,na kuwawezesha kimkopo,serikali hii kila kitu kodi,kila taasisi utakayofika ili kuanzisha mradi kodi,kodi,kodi,kodi,
Wakati huo for instance mazao yakikosa soko hawana shida wao wanachojali ni kodi
Serikali hii ipo kiujamaa zaidi,inachukua mashamba inawapa wananchi ili walime sijui,mahindi na watakati huo tunataka viwanda kwa raw materials zipi?
Kwa hali hii hatutasonga mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakijisikia tu wanakunyang'anya!Kama ndivyo,kwanini serikali huwa inalipa fidia pale barabara inapofuata mashamba au ardhi za watu?Kwanini wasichukue tu maana ardhi ni yao?Nchi za watu ukimiliki shamba ni utajiri,huku kwetu unaweza kunyang'nywa muda wowote!Kwasababu kisheria ardhi yote ni mali ya Serikali ni si ya mwananchi, Haijalishi umeinunua kwa shilingi ngapi, na haijalishi una docs kiasi gani za kuhalalisha umiliki wako, bado ardhi yote ni ya serikali na hivyo wana maamuzi ya kukunyang'anya wakati wowote wakijisikia, maana ni yao.