Fuatilia sababu ya kutekwa kwakeImekuwaje mpaka kafikia kupokonywa?
Kwa vile hamfanani level atakuja kupora hata mkeo ukabaki umeshika tama tu
Sent using Jamii Forums mobile app
umepewa mashamba kwa masharti yakuyaendeleza na kutoa ajiraHakuna alie salama.
No wonder pendekezo la kamati husika ya Bunge kutaka uchunguzi wa baadhi ya mashamba yaliyochukuliwa na serikali ufanyike liliondolewa na Nape akaamua kukaa pembeni.
Subiri chadema mkiingia mtawanyang'anya wananchi muwape matajiri watengeneze mashamba pori wachukulie mikopo..lissu si ndio rais 2o2o.Kuna dhambi ambazo serikali hii inafanya hakika shetani anaweza kusema mbele ya Mungu kuwa mimi sijawadanganya?
Serikali hii ni zaidi ya shetani
Mashamba ya ngaomo Basutu Karatu yanaendelraje?Serikali yenyewe ikiyachukua hata hawayaendelezi hayo mashamba
Usisahau hesabu ya 1/8.ukiipiga utajua eneo la kunyang'anya ni kiasi gani,hata yeye hawawezi kumchukulia alikopanda upyaUmeshawahi kupita maeneo hayo hivi karibuni? Wamepanga mkonge mpya na mashamba yako vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajalalamika kwenye Media bali amesema amemwachia Mungu. Soma vizuri habariMO hajaonewa na si wa kwanza yeye kufutiwa hati za umiliki wa mashamba kwa vigezo na sheria za nchi.....
Hata kama una mashamba lakini hujafuata vigezo vya umiliki wa hayo mashamba na ndiyo maana leo hii baadhi ya hati za mashamba yako zinafutwa.
Na kama umeonewa Mahakama zipo nenda kafungue mashitaka huko ili upate haki zako.kulalamika katika media hakusaidii kabisa.
Vigezo gani wakati ni ya kwake kwani alipewa bure!Kama hajakidhi vigezo anyang'anywe tu
Kama hadithi nimekumbuka ya Idd Amini Dada na maduka ya Wahindi alivyo yagawa kama njugu kwa weusiWatu wanaona kilichochukuliwa ni mashamba tu Vipi kuhusu Viwanda?.
Watamgawia nani?