Mohamed Dewji: Ninamwachia Mungu Serikali kunidhulumu mashamba na viwanda vyangu

ETI namwachia mungu kwani mwanzo alimwachia shetani?.

nakama alidhani yale masharti ya kukaa kimya baada ya kuaichiwa yangesaidia,anajidangayaa
 
Haya Mashamba hata wakichukua hawawezi kuyaendeleza

Nani atawekeza kwenye Mashamba hayo ?

Eti emeyakuchukua wapate nafasi ya kulima Nani atalima kwenye Mashamba ya katani(mkonge)

Yaani eti wanasingizia watu walikosa sehemu ya kulimia mtu kabana Mashamba hata wakiyachukua hakuna watu wanoweza kuyalima

Labda yangekuwa Mashamba tupu ,Ila yanakatani ambazo zimezungukwa na mapori Nani atalima humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema viwanda na mashamba yangu.
Viwanda ni vipi? Mashamba mmesema ya mkonge/katani. Viwanda ni vipi ama kile cha kurosho mucobo huko kusuni kilichowekwa chini ya JeWii?
 
Hakuna alie salama.

No wonder pendekezo la kamati husika ya Bunge kutaka uchunguzi wa baadhi ya mashamba yaliyochukuliwa na serikali ufanyike liliondolewa na Nape akaamua kukaa pembeni.
umepewa mashamba kwa masharti yakuyaendeleza na kutoa ajira
kwa miaka 19,umeacha mapori,hati umekwenda kukopa mabilioni benki za nje huku watu wakihitaji ardhi,hawaruhusiwi kuingia hata sentimita moja.
Hii ilipigiwa kelele sana na chadema,kiufupi tumetekeleza sera ya chadema,na kweli tutatwaa mashamba na viwanda vyote visivyoendelezwa kwa mujibu wa mkataba
 
Kuna dhambi ambazo serikali hii inafanya hakika shetani anaweza kusema mbele ya Mungu kuwa mimi sijawadanganya?

Serikali hii ni zaidi ya shetani
Subiri chadema mkiingia mtawanyang'anya wananchi muwape matajiri watengeneze mashamba pori wachukulie mikopo..lissu si ndio rais 2o2o.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hapo zamani mashamba hayo yalikuwa ni ya nani?
Na je IRR ya waliokuwa wamehodhi bado haijafikiwa?
Vipi kuhusu muda na masharti ya hati miliki ya mashamba/ardhi hayo/hio una/ina semaje?
 
MO hajaonewa na si wa kwanza yeye kufutiwa hati za umiliki wa mashamba kwa vigezo na sheria za nchi.....

Hata kama una mashamba lakini hujafuata vigezo vya umiliki wa hayo mashamba na ndiyo maana leo hii baadhi ya hati za mashamba yako zinafutwa.

Na kama umeonewa Mahakama zipo nenda kafungue mashitaka huko ili upate haki zako.kulalamika katika media hakusaidii kabisa.
Hajalalamika kwenye Media bali amesema amemwachia Mungu. Soma vizuri habari
 
Serikali wachukue tu, Haiwezekani muda wote huo hamjaendeleza alafu mnalalamika!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom