Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
Kwa mara ya kwanza nimeona watanzania kwa " kauli " moja wakishirikiana katika jambo , Maajabu !
Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya miaka kadhaa tangu Baba wa Taifa kuaga dunia , ambayo mara zote wananchi wamekuwa wakiienzi kwa kufanya makongamano na mambo mengine ya kiutu kufanyika mitaani , leo imekuwa tofauti , kuanzia kwenye vyombo vya habari hadi kwenye mitaa .
Magazeti yote ikiwemo hata wananchi kwa ujumla wao mijadala inayotrend ni kutekwa kwa MO ambaye ni siku ya Tatu bado hatima yake haijajulikana , Habari ya kumbukumbu ya Nyerere imezimwa na wala haijadiliwi tena !
Jambo hili la kuzimika kwa kumbukumbu ya Baba wa Taifa mtu aliyeasisi siasa za Utu , upendo na umoja wa kitaifa , hasa katika kipindi hiki cha utekaji ni ishara ya kitu gani ?