Mohamed Bouaziz Atunukiwa tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mohamed Bouaziz Atunukiwa tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo

Discussion in 'International Forum' started by Stuxnet, Dec 15, 2011.

 1. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  The Sakharov Prize for Freedom of Thought, named after Soviet scientist and dissident Andrei Sakharov, was established in December 1988 by the European Parliament as a means to honour individuals or organisations who have dedicated their lives to the defence of human rights and freedom of thought.[2] A shortlist of nominees is drawn up by the Foreign Affairs Committee and the Development Committee, with the winner announced in October.[1] As of 2010, the prize is accompanied by a monetary award of €50,000.[1]

  The first prize was awarded jointly to South African Nelson Mandela and Russian Anatoly Marchenko. The most recent award, in 2011, was given to five representatives of the Arab Spring—Asmaa Mahfouz, Ahmed al-Senussi, Razan Zaitouneh, Ali Farzat, and Mohamed Bouazizi—for their contributions to "historic changes in the Arab world".[3] The prize has also been awarded to different organisations throughout its history, the first being the Argentine Mothers of the Plaza de Mayo (1992).

  The Sakharov Prize is usually awarded annually on or around 10 December, the day on which the United Nations General Assembly ratified the Universal Declaration of Human Rights in 1948,[4] also celebrated as Human Rights Day.[5]
   
 2. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu dogo ni kama malaika kwani kwenye umri wa miaka 26 ameweza kuwa 'matyr' au shahidi. Bila yeye haya mapinduzi ya kifikra na kisiasa ya dunia ya Kiarabu yasinge tokea katika kipindi hiki. Hiyo tuzo walishapewa watu maarufu kama Nelson Mandela na Kofi Annan
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nadhani Paragraph ya Mwisho ulitakiwa useme Who's Mohamed Bouaziz

  Tafadhali naomba ufanye editing kwenye thread yako, kwa manufaa ya JF members wote
   
 4. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Asante Sita Sita kwa angalizo hilo. Mohamed Bouaziz ni yule kijana wa Tunisia aliyejiunguza na mafuta mnamo tarehe 17/ 12/ 10 nakufariki tarehe 4/ 1/ 2011. Alifanya hivyo baada ya mamlaka ya ya jiji kumnyanyasa, kumdhalilisha na kutaifisha bidhaa alizokuwa anauza kama machinga. Huyu kijana alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alikosa ajira. Kitendo chake cha kujitoa uhai ndicho kilicho chagiza mapinduzi ya Tunisia yalyomfanya Rais Ben Ali aondoke tarehe 14/ 1/ 11. Na hilo wimbi likapokelewa kwa chagizo na nchi za Misri, Libya, Yemen, Bahrain nk
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kususia chakula pamoja na kujichoma moto imekuwa ni njia kubwa ya kuonyesha hisia za kwamba mtu amechoshwa na manyanyaso, zilishuhudiwa wakati wa vita vya Ireland (kususia chakula) na vya Vietnam (kujichoma moto), na sasa kizazi hiki kinashuhudia hayo ya Tunisia. Asante kwa ufafanuzi, na itapendeza sana kama utaweza kuweka / kubandika picha ya mwanamapinduzi huyu wa kiarabu aliyeamua kujichoma moto.
   
 6. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
Loading...