Mogae kazeeka vibaya! Wa-xhosa mkimsikiliza mmekwisha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mogae kazeeka vibaya! Wa-xhosa mkimsikiliza mmekwisha!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nzowa Godat, Oct 20, 2011.

 1. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mogae ataka wapenzi wa
  jinsia moja wahalalishwe
  19 Oktoba 2011 14:50
  Botswana haina budi
  kuhalalisha wapenzi wa jinsia
  moja na biashara ya ukahaba ili
  kuzuia kusambaa kwa
  maambukizi ya UKIMWI, Rais
  wa zamani wan chi hiyo Festus
  Mogae ameiambia BBC.
  Bw Mogae, aliyeongoza
  serikali ya Botswana kuunga
  mkono Baraza la Aids
  amesema ilikuwa vigumu
  kukampeni ngono salama
  wakati mambo hayo mawili ni
  si halali.
   
Loading...