he he he, sitafuti mtu maneno wala maandishai.
Acha watu tufurahie snow kama tuko Manhattan kwa Nataly bana.
Miss u too
Nakuunga mkono Connie lakini nadhani itakuwa ngumu kidogo kwani zitafunika COMMERCIAL BANNERS na ikifika mwezi wa RAMADHANI itabidi iwekwe mwezi na nyota..etc etc...pima mwenyewe dadangu! Wewe naomba uwe SANTA CLAUS 2012.
Vipi uko Dar kweli? Mbona ulipotea hapa kati?!
ina aisee, au tukutane pale mahala petu tugawiane?
Awepo dar mchezo!!!, yuko kanyigo kwa wakwe zake
he he he, pole
utafiti utawamaliza.
Lakini ndo ukubwa, nitakuwa huko siku moja.
siku hizi natembea na kopo la kerosene.