Mods Naomba Vitheluji, Season ishaanza . .

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,162
Kama heading inavyosema, naomba mniwekee vitheluji hapa jf
Ili nikiwa nasoma najua kabisa season ishaanza

Nianze kununua makoti marefu na kofia, chezeiya snow

Nawakilisha. . .
 
Kongosho kuna watu unawatafuta maneno apa

hujambo lakini? miss u sana
 
Last edited by a moderator:
Konnie... mbona hujatimia? Huna viboksi,vidungu vya rangirangi,huna mazagazaga yale ya kumetameta...
 
Nakuunga mkono Connie lakini nadhani itakuwa ngumu kidogo kwani zitafunika COMMERCIAL BANNERS na ikifika mwezi wa RAMADHANI itabidi iwekwe mwezi na nyota..etc etc...pima mwenyewe dadangu! Wewe naomba uwe SANTA CLAUS 2012.
 
he he he, sitafuti mtu maneno wala maandishai.

Acha watu tufurahie snow kama tuko Manhattan kwa Nataly bana.

Miss u too

Kongosho kuna watu unawatafuta maneno apa

hujambo lakini? miss u sana
 
Last edited by a moderator:
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, wao waweke tu
mbona mwaka jana waliweka?

Nakuunga mkono Connie lakini nadhani itakuwa ngumu kidogo kwani zitafunika COMMERCIAL BANNERS na ikifika mwezi wa RAMADHANI itabidi iwekwe mwezi na nyota..etc etc...pima mwenyewe dadangu! Wewe naomba uwe SANTA CLAUS 2012.
 
he he he, pole
utafiti utawamaliza.

Lakini ndo ukubwa, nitakuwa huko siku moja.

Mi mwenye niko Mtwara Konnie. Kurudi after 26th.
Ila kile kiwanja kinahusika kinoma. Nikiingia jijini will let you know.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom