Mods mmejiandaa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mods mmejiandaa vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kwame Nkrumah, Oct 28, 2010.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kutakuwa na Trafic kubwa sana jumapili kwa ajili ya kupata habari za uchaguzi live. Na kwa kuwa JF ni reliable source to most of us, JE MODS mmejiandaa vipi na issue kama system breakdown na mambo kama hayo?

  Pia badala ya kuwa na MI THREADS mingimingi na kila mtu na updates zake mnaonaje tukawa na one thread, kwa ajili ya uchaguzi siku hiyo tu? Kila mtu aweke updates anazopata kwenye thread hiyo tu. Badala ya kutafuta habari huku na huko.
   
 2. z

  zawadi2007 Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo umeongea la maana maana watu tutahitaji kufuatilia na kupeana taarifa kwa kila hatua zitazokuwa zikiendelea.

  Asante
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Wamekusikia
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  i have cleared my schedule for that day, nitashinda kwenye king'amuzi siku nzima, hata NFL sitaangalia siku hiyo.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mimi si Mod, lakini kama mnakumbuka siku za nyuma (miezi ya April or so) Mods walikuwa wanapeleka system offline mara kwamara, wakati huo walikuwa wanajiandaa na zoezi hili zima la msimu wa uchaguzi.

  Kama niko sahihi walibadilisha na ku-update servers zao ili ziwe na capacity kubwa zaidi, lakini pia kuandaa back-ups kubwa ili kuhimili tatizo lolote, kwahiyo tusiwe na wasiwasi, JF haiwezi kutuangusha kipindi nyeti kama hiki, kama ninakosea watanirekebisha.
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  naamini pia katika hilo, maana katika nchi hizi ambazo vyama vyenye sura na historia ya ukombozi kwa maana ya kupigania uhuru lolote wanaweza kufanya kuhakikisha taifa linakosa mawasiliano kwa mifumo ya kawaida ya mawasiliano, ili kujiweza kuwa wanakalia Ikulu kwa nguvu za dola., sasa hizi forums ambazo ni giants ndio hubaki kuwa nguzo ya mawasiliano ......
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Nimekugongea Thanks hapo juu!!
   
 8. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  MODS jipangeni kwa hilo
   
 9. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nitaanzisha THREAD jumamosi usiki itaitwa UCHAGUZI SPECIAL kwa ajili ya news zote za uchaguzi siku ya jumapili. Wana JF tutaweka humo matokeo ya vituo, picha za uchaguzi , vikwazo wanavyokutana navyo wapiga kura, mahojiano na wapiga kura na hata matokeo ya awali [ projected winner ] ya mshindi wa urais.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Najua mkuu invisible atakuwa ashaandaa thread kwa ajili ya hiyo!
   
Loading...