Mods, hebu wekeni utaratibu bora wa alerts

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja unafanya sie tunaotumia visimu vya kawaida tupate tabu sana kujua kama kuna mtu kakuuliza swali au ametaka ufafanuzi wa posts uliyotuma.

Au naomba nielekezwe namna nzuri ya kujua qoutations na likes katikati ya alerts nyingi sana, say alerts 50 au zaidi. Kuna wakati napotea kwa siku mbili nakuta alerts kama 500.
 
Hadi kero unakuta alert 700 km hujaingia jf umashndwa kuelewa nani amekutafuta nani amekuquote.marekibisho yanatakiwa kwakutenganisha
 
Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja unafanya sie tunaotumia visimu vya kawaida tupate tabu sana kujua kama kuna mtu kakuuliza swali au ametaka ufafanuzi wa posts uliyotuma.

Au naomba nielekezwe namna nzuri ya kujua qoutations na likes katikati ya alerts nyingi sana, say alerts 50 au zaidi. Kuna wakati napotea kwa siku mbili nakuta alerts kama 500.
I second the motion to separate alerts for likes/ new threads/ quotes
 
Nashukuru kama sipo peke yangu kwa hii shida. Mods tafadhali sikia hii. Wengine hatupendi kuonekana tuna dharau kwa kutojibu hoja za watu.
 
Mimi napenda ubishi kuliko ninavyopenda likes, bora nisione like kuliko nisione quote ya mtu ninayebishana naye.

Lakini pia, napenda kuangalia nani amependa michango yangu.

Mara nyingi napenda kuangalia quotes, lakini kuna wakati naangalia likes, zingetenganishwa ingekuwa poa sana.
 
Mimi napendaubishi kuliko ninavyopenda likes, bora nisione like kulikonisione quote ya mtu ninayebishana naye.

Lakini pia, napendakuangalia nani amependa michango yangu.

Mara nyinginapendakuangalia quotes, lakini kuna wakati naangalia likes, zingetenganishwa ingekuwa poa sana.
Indeed! Basi wataalum wa JF wafikishieni mods hili jambo kwa moto sana. Asante sana
 
Back
Top Bottom