Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Duh!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!