Mods,baadhi ya threads zinahitaji kusafishwa.

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,928
544
..mods,

..kama mtakuwa mmegundua,baadhi ya threads [ barack obama special thread,etc] zimekumbwa na wimbi la matusi yanayoharibu mtiririko wa post zilizoko. vitu kama hivi vinafanya watu kutokuwa na hamu ya kuchangia mada.

..vile vile vinashusha hadhi ya thread yenyewe. hii ina-impact michango na mawazo ya watu wanayotoa au kutakatoa humu jamvini. heshima inashuka pia.

..nadhani mambo kama haya yasingeachiwa yakaendelea. yanahitaji kudhibitiwa.

..simply, posts kama hizi ni za kufutwa au kuwekwa sehemu ambayo wanaohusika nazo wataziendeleza huko na si kuharibu thread za muhimu na maana. but i doubt kama huko zitachangiwa, sababu yawezekana watu wanatafuta attention au wana-spam thread.

..anyways, p'se do the needful!
 
Back
Top Bottom