Modernist stage from DJ. Don Nalimison to Civilian Coin

Hivi civilian coin ndo utakuwa mdogo wake bit coin.
Mr. Bitcoin Ni mchezo uliompa umilionea Mr. Mpho Dagada wa Afrika kusini na hivyo yeye akawa anaitwa Bitcoin. Bitcoin Ni kurusha sarafu kwenye kiboma na sarafu ikiingia unapata Pesa. Ni Kama Jackpot bingo.
 
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa.

Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa imara na Star mkubwa alianza na Puffy Daddy akabadili akawa P.diddy akabadili tena akwa Diddy na hivi karibuni ameapa Mahakamani na kuongeza "Love".

Kwangu Mimi kugeukia CIVILIAN COIN nakuachana na DJ. DON NALIMISON sio dhambi na Wala sio kosa Bali Ni busara takatifu ya kutakasa mipango yangu.

Mabadiliko yote yatafanyikia Mahakama Kuu na Mahakama ya Kimataifa (ICC) na ndipo takuja kurekebisha Account yangu hapa JF.

Maana halisi ya jina Langu jipya CIVILIAN COIN Ni kutafuta Ushirikiano wa Kiraia baada ya kukosa Ushirikiano wa kimadaraka na Uongozi. Hivyo raia(Wananchi) ndio kampani yangu kuanzia Sasa.

Wasalaaam:

CIVILIAN COIN
29 DESEMBA 2021.
View attachment 2026990
Civilian Coin naona mwenzetu ushamaliza mwaka 2021 bado siku tatu usheherekee mwaka mpya.

Badiliko la jina lako linaendana na ujio wa kalenda yako pia,

Comment yangu inahusiana na tarehe uliyoiweka mwisho wa hoja yako
 
Civilian Coin naona mwenzetu ushamaliza mwaka 2021 bado siku tatu usheherekee mwaka mpya.

Badiliko la jina lako linaendana na ujio wa kalenda yako pia,

Comment yangu inahusiana na tarehe uliyoiweka mwisho wa hoja yako
Aksanteni, nimerekebisha.
 
🤣🤣🤣

DC91D5E8-D490-41AF-9630-01DDE6A7093A.png
 
Back
Top Bottom