moderm za airtel toka juzi huku same na himo mbona zinazingua?

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
jamani mimi tangu juzi modem yangu ya airtel inakataa kuunganisha mtandao, nimejaribu kuuliza watu wengine wanao tumia airtel hapa na wenyewe tatizo ni hilo hilo. kama kuna mtu wa airtel hapa atusaidie jamani kabla hatujazichakachua hizi modem
 
Back
Top Bottom