Moderators You Need To Be Tough And Wise

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,024
9,270
Being at a position of making decisions , especially decisions which involve the interests of many people, is not an easy task.

as it involves judgement to establish balance, create a conducive environment for all members to participate at their maximum potential. it takes ones time, and a lot of energy to make sure that the implementation of the idea is set on the correct course, for the benefit of the very same community.

So in this situation there must be some collision of what should be done next and what shouldn't. so when these contradictions surface on the course of time, the implementation of the idea itself requires a decision which when put on action will uplift the results int certain heights of success.

What i want to say here is, With due to all respect to our Moderators in JF for their outstanding job, i would like to propose to them that, as our Forums members increase, so no doubt their challenges will increase too.
So they need to be tough and firm to make sure that achievements of JF are protected and increased
Beware of posts whose mass headings are very heavy and attractive but whose density of constructiveness is less than vapour of nonesense!

Also i propose to them on being wise on dealing with individual members, myself i honestly believe that "EVERY SIGLE MEMBER OF JF IS VERY IMPORTANT, TO LOOSE ONE IS A BIG LOSS". I wouldn't like to see any Moderator of JF using this language quote" hujalazimishwa kuja JF ukitaka ondoka(as some members have been saying to their fellow members)". to me this sounds too rude you know!, everybody has the sense of being important,and the sense of being needed or appreciated in any community where he/she is, JF i think inclusive.

Lastly i would like to hint on our moderators the little psychology of people in any community, i mean what make a person perticipate fully in the build of a happy and a successful community ,i hope JF wont be exclusive.

1:Safety
A person before he does anything else needs to be assured or assure himself that he is safe, you can offer a world to a person but if then he realize he wont be safe thenafter he wont accept.

2:Respect
After someone is assured that he is safe ,he needs to know whether you respect him as a human being or not, if not then the bond between these two people wont hold

3:Trust
After you show respect, and that you accept him as a human being, then a person will need to know if you trust him, if you show no trust in him, then he will doubt back, then there wont be any strong bond, or contribution to these two fellas

4:feeling of being needed
when all those principles are held, that someone is safe, that someone is respected an trusted, then iif he/she be shown the signs of being needed then this guy will be so cooperative ,then the community which this guy belong will obvious benefit a lot from this member.

I hope JF will utilize this potential of her members. let to loose one member be something regretful
 
vizuri kwa kuona hayo uliyosema maana it takes time for others to see it, others take decades to realize it !

keep it up !
 
Maneno yako yamejaa kila aina ya busara na hekima na ingekuwa katika sayari nyingine basi unastahili tuzo ndugu yangu. Hata hivyo uhalisia wake unapatikana katika ulimwengu wa kufikirika na ule ambao wakazi wake ni watu wa njozini. Kwanini?

a. Katika ulimwengu huu wa kwetu ambao sayari ya dunia imo, hakuna kitu ambacho mtu anaweza akafanya hata akiwa na nia nzuri kiasi gani na akajikuta anamridhisha kila mtu.

b. Katika ulimwengu wetu huu ambapo sayari ya dunia imo, watu watakosa, watakosea, watafanya makosa na kurudia makosa. Kwa vile huo ni ukweli basi kutarajia au hata kuombea kuwa watu watakuwa wakamilifu kwa kiasi kikubwa kiasi cha kuwafanya watu wawe safe, respected, trusting and trusted or have a feeling of being needed is setting one's self for disapppointment. Watu hujihisi wanakosa for a reason, for multiple reasons or for no reason at all! THERE IS NOTHING A MOD can do to satisfy those people.

c. In this universe where our planet is part of, there are lines that shouldn't be crossed once they are drawn. Mara nyingi sana tumejifunza kuchora mstari mpya kila tunaposogelewa hadi inafikia mahali tunafuta mstari huo. Ndio maana hadi leo hakuna mtu mwenye ubavu wa kuweka nidhamu ya matumizi ya fedha za serikali, nidhamu ya kazi n.k kwa sababu tumebakia kuchoreana mistari "Jamani Watanzani tuwe na maadili"; "Jamani acheni kufuja mali ya umma mtakiona" n.k ni maneno tuliyoyazoea kwani ni mistari isiyo na maana.

Hapa JF kuna watu ambao hakuna kitu ambacho kitafanywa hata kwa nia nzuri kiasi gani kitawaridhisha watu hao.

d. Kuna watu ambao kwa sababu fulani wamewekwa alama za ubaya kiasi kwamba hawaruhusiwi kukosea, hawaruhusiwi kusema lolote kinyume au kufanya jambo ambalo litawakosesha raha baadhi ya watu fulani, hivyo kila herufi ya maneno yao inafuatwa na kila mstari wa maelezo yao huchambuliwa, si kwa ajili ya kuona wanasema nini bali kujaribu kutafuta "wamekosea kitu gani tuwaambue".

Wale wanaoafanya uchunguzi huo waliojipachika wenyewe hawawezi, na hawataki kuona jambo lolote jema ambalo wengine wanafanya na hata mtu anapowashukuru kwa dhati wao wanahisi wanadhihakiwa. Watu hao hakuna kitu kinachoweza kufanywa kikawaridhisha.

f. Sasa katika ulimwengu huu tunaoishi sisi, kuna wakati mtu anaitwa kuchukua msimamo na kutoyumba hata kama ni msimamo wa makosa lakini ajulikane amechukua msimamo. Tabia ya kufuata upepo na kupima mwendo wa upepo ndipo mtu aamue pa kwenda ni hatua ya watu wenye utata wa maamuzi.

g. Katika kupata mawazo mazuri na yaliyo na manufaa ni lazima mawazo hayo yagongane na yaliyodhaifu yatupwe pembeni. Tutafanya kosa kubwa sana kama tutataka kuwe na "uniformity of ideas and thoughts" hapa JF. Tusiruhusu hilo na tuendelee kugongana mawazo, hoja n.k kwani "chuma hunoa chuma". Binafsi sitaki kuona mtu yeyote anaminywa mawazo yake kwa vile fulani hafurahishwi na mawazo hayo.

Mara nyingi kinachonisumbua sana ni mashambulizi binafsi na lugha za matusi ndiyo maana nilikataa walipomuita Amina "Malaya" au Bi. Senti 50 au Mwafrika alipojiunga. Lakini kama ni mawazo tu ambayo ni tofauti, I'LL FIGHT TO MY LAST BLOOD kupata kuyasikia mawazo hayo na msimamo wangu ni ule wa "nipe uhuru, au nipe kifo"!

e. Hivyo, misingi ninayoona mimi ambayo ni ya maana kwetu hapa JF ni ile ya kawaida tu.

- Heshimu utaheshimiwa
- Usichukulie kila jambo ni kuhusu wewe
- Chukua msimamo na ikija hoja yenye nguvu badilisha usiogope kusema umekosea
- Linda yote unayoambiwa ini confidence.. usitaje jina la mtu kwa mtu mwingine bila ridhaa yake (this is paramount) vinginevyo sijui mmewahi kujiuliza tunapata pata vipi hiyo mikataba na picha hizi na habari nyeti.. msingi wa hilo ni kuhakikisha unalinda identity za watu..
- Kutofautiana mawazo na mtu haina maana ni ugomvi. Binafsi nimetofautiana na watu wengi na ninawaahidi nitaendelea kutofautiana na watu wengi, lakini niwahakikishie sina kinyongo au kisiranin na mtu yeyote yule. Sina kisasi hata wale ambao wamejivika "adui wa mwanakijiji" label.

That said, tuendeleze na issue na tusijaribu kufurahishana na kujipendekeza kwa mtu yeyote, ukijisikia kumpinga mtu mpinge, ukijisikia kukasirika kasirika lakini usifanye vitu kuwa personal kama watoto wa shule ya msingi!! Hilo likitokea, ma MoDs wana nguvu zote za kuchukua hatua yoyote ile kulinda Forum hii bila kujali jina, hadhi, cheo, ujiko wa mtu yeyote hapa.

Anayejihisi duni au kwa namna fulani kuonewa badala ya kutimuliwa tunaweza kuanzisha mahali pa ushauri nasaha (kwa wale wenye muda huo!)

That is my piece and I'm out!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom