Moderators mbona mnawalinda viongozi wa dini

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Inasikitisha kuwa viongozi wa dini wakisemwa tu, mnafuta uzi harakaharaka. Wao ni watu wana wajibu wa kukemea haya yanayoendelea. Wacha nao wakumbushwe wajibu wao. Wanasahau kuwa Askofu Janan Luwum aliuawa ya Amin kwa mkono wake, hawako salama wasijidanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom