Moderator JF Wamejipangaje kwa matukio ya uchaguzi mkuu kwa video/Audio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moderator JF Wamejipangaje kwa matukio ya uchaguzi mkuu kwa video/Audio

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Jul 16, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba nitoe changamoto kwa Moderator wetu kuhusu jinsi gani member watakavyoweza kuripoti vituko/matukio ya uchaguzi mkuu kwa picha za video na Audio

  Tunataka kila jambo linaloolezwa kuhusu masuala ya uachaguzi mkuu kama ikiwezekana tuone wenyewe badala y post nyingine za uongo.

  Hapa naongelea wale wenye kamera au simu za kamera kuweza kupost angalau kipande cha dk 2 kuhusu jambo linalotokea kwa wagombea nk

  Kwamba iwepo sub forums inayoonesha taarifa za video kuhusu uchaguzi mkuu

  Kama sikueleweka niulizwe
   
Loading...