Moderator gani unahisi anaongoza kufuta nyuzi zako?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Mimi kuna moderator anaitwa Moderator huyu bwana nadhani anaongoza kufuta nyuzi zangu, kuna uzi mmoja niliandika siku nyingi nahisi aliufuta yeye japo nilichokiandika nilikuwa na uhakika nacho na kitatokea siku za usoni kama breaking news.
 
Back
Top Bottom