Mwendabure JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,138 1,040 Sep 2, 2011 #2 Hizo ni Pingu..!? au mijicho yangu imezidiwa na ngeleja?
LordJustice1 JF-Expert Member Jan 19, 2011 2,263 530 Sep 2, 2011 #3 Mwendabure said: Hizo ni Pingu..!? au mijicho yangu imezidiwa na ngeleja? Click to expand... Kufuli hiyo!
Mwendabure said: Hizo ni Pingu..!? au mijicho yangu imezidiwa na ngeleja? Click to expand... Kufuli hiyo!
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Sep 2, 2011 #4 kavua underware, nahisi intaviu yenyewe ni ya mambo yale.
Amyner JF-Expert Member Jul 13, 2011 2,397 877 Sep 3, 2011 #7 Hahahahaha jamani hii technology yaweza mfanya mtu afe kwa pressure!!
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Sep 3, 2011 #8 |hahahahahahah mazingira ya rushwa hayo full
NYENJENKURU JF-Expert Member Feb 11, 2011 1,063 288 Sep 3, 2011 #10 Lengo nikupunguza maswali kutoka kwa anaye mInterview.
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Sep 3, 2011 #13 Kazi hapo amepata labda akutane na jamaa mlokole asiyeelewa lugha ya picha
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 3, 2011 #14 anae interview nae kazeeka hvo anajua atapiga ka 1 tu
M mwacheni77 JF-Expert Member Apr 11, 2011 763 209 Sep 4, 2011 #15 Mazoea yana tabu,digrii ya chupi na kazi kwa chupi pia ndio stlye
chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 203 Sep 4, 2011 #16 Hapo kwa kweli wamemzalilisha mama wa watu
Mbugi JF-Expert Member Jan 7, 2011 1,488 257 Sep 4, 2011 #17 window said: je tutafika? Click to expand... kwa wenzetu wanaweza kushinda majaribu haya lakini si kwa sisi vidume uchwara
window said: je tutafika? Click to expand... kwa wenzetu wanaweza kushinda majaribu haya lakini si kwa sisi vidume uchwara