modemu ya mtandao gani ni nzuri kwa matumizi!!

kwa upande wangu modem zote nimetumia na zote ni nzuri ila kulingana na sehemu nilizokuwa ninazitumia ni hivyo tuuuuuu
best
 
ingia brothersoft au C net.com au google freedownload ya join air,utaipata ni ka pogrm kadogo tu
 
Airtel usijaribu ni zaidi ya presha, ni kimeo, 3.75 ni usanii mtupu!
mpwa kama ulikuwepo,
mi nimegawa bure modemu ya airtel, ni kimeo kwakweli maana transfer rate ikijitahidi ni 150Kbps wakati mnyama Zantel inakamua mpaka 2500Kbps, nadownload movie ya 800MB ndani ya masaa machache tu.
EVDO ndio mambo yote, hamia zantel, hawa jamaa nikijiunga na ile unlimited ya buku 6 kwa siku tatu hadi huwa nawaonea huruma kwamba ninawadhulumu kwa jinsi ninavyodownload mamuvi!.
 
TTCL ndio the best ever sababu hao tigo zantel vodacom Airtel sasatel wanachukua internet kutoka TTCL
nina modem za mitandao yote 5 (TTCL, zantel, sasatel, tigo, vodacom na airtel),
nakubaliana na wewe, lakini modemu za TTCL sometimes huwa zinapatwa na kwikwi, network huwa iko chini, sometimes inakata mpaka uivizie saa nane usiku ndio iwe ina speed yani shida tupu. bila kusahau inategemea na eneo gani ulilopo mfano maeneo ya mbezi/kimara network ya kuotea kukivuma upepo inapotea!.
 
Back
Top Bottom