Modem MF 190 unlocking problem

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Habari za Leo wakuu! Nime unlock airtel modem MF 190 few weeks ago nikatumia Pasi na shida lakini baada ya Ku update windows 10 ya PC to latest haiwezi kudetect modem,nikahisi labda ni drivers zinamiss bt even Niki connect kwa PC ya windows 7 still modem not detected
 
Hapo itakuwa umshaua/kuifuta ile software ya kwenye modem/dashboard software
 
Habari za Leo wakuu! Nime unlock airtel modem MF 190 few weeks ago nikatumia Pasi na shida lakini baada ya Ku update windows 10 ya PC to latest haiwezi kudetect modem,nikahisi labda ni drivers zinamiss bt even Niki connect kwa PC ya windows 7 still modem not detected
Install driver zake mannualy ndipo utumie
 
Red light inawaka
Tafuta driver. Modem nzioma iyo. Hata mm iliwai nitokea tena ni modem iyo iyo nili unlock kwa DC unloacker af kuna kitu nilifanya sikikumbuki ndo ikawa haina Software yake ndani. Ilikuwa nikitaka kuchomeka kwenye pC ambayo sijawai itumia inatakiwa niisntall drivers kwanza na pia ni install na Dashboard ndo niitumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom