Modem ipi na mtandao gani ni bora zaidi kwa Video, Skype (VoIP) na Internet kwa ujumla?

airtell ndo kila kitu bwana yaani ukiwa sehemu yenye 3g na copm yako ikawa na speed yaan browsing is like copy and paste
 
Kama ni mwanza town then I recomend ZANTEL, Its the best intanet provida, spidi yao ni Ya TURBO. Especialy ukiwa katika HIGH LIFE CLUB yao
 
Mimi natumia kisimu cha Huawei U185 (Google Ideos)kama hivyo vya Tigo vina sehemu ya tethering,natumia mtandao wa Airtel naweka kifurushi cha 400 MB iko fasta zaidi kuliko nikitumia hizo modem,niko Mbweni kijijini
 
kaka hebu nifahamisheni kuhusu hii join air, unaistall wapi hasa, kwenye PC au?
 
Juzi Dec 27 Airtel shops zote za Dar zilikuwa zimeishiwa modem,na modem za Airtel ndio aghali kuliko zote kama sikosei zinauzwa buku 52,hawa jamaa kwa sasa wameipiku Zantel ambao kuna wakati ndio walikuwa wanaongoza kwa mambo ya internet kwa makampuni ya simu
 
Back
Top Bottom