Model Thom Faraja kuiwakilisha Tanzania God Father East Africa.

Click yes to support them.

  • Yes

    Votes: 1 100.0%
  • No

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .

Jemes korrazon

New Member
Mar 20, 2018
2
0
View attachment 720270 View attachment 720269
BaMRGwUnjBq

College Top Model na Actor Faraja Thomas ni mmoja kati ya watanzania wanne ambao wataiwakilisha Tanzania kwenye Reality Tv show ambayo inategemewa kuanza mwanzoni mwa mwezi wa nne huko nchini Kenya.

Akiongea na mmoja kati ya waandishi wa jukwaa la jamii forums Faraja alipoulizwa kuhusu mashindano haya alisema “God father east africa ni reality tv show kama ilivokuwa big brother africa na nafurahi kuwa mmoja ya washiriki nikiwa na wenzangu wanne yaani housemates, na niombe tu support kutoka kwa watanzania ili wote kwa pamoja tukafanye vizuri” alimaliza.
BZ8ZOCqn1p1

Wakati mashindano hayo yakisubiriwa kwa hamu, Faraja aliwataja washiriki wenzake ambao ni Delan Davis, Banye Loverance pamoja na Anna Nkindwa.

Kwa maelezo zaidi na kuweza kufatilia washiriki hawa kwa karibu unaweza tembelea official website ya mashindano hayo ambayo ni www.godfathereastafrica.com/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom