Ndugu walimu wenzangu, kutoka pembe mbalimbali za nchi hii. Ninakuja kwenu kwa unyenyekevu nikiomba kwa mwenye papers za masomo yafuatayo, Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Biology, Kiswahili, English, History na Geography kwa mikoa mbalimbali, ashirikishe katika jukwaa hili.
Hii yote ikiwa kwa lengo la kuinua ufaulu wa vijana wetu, maana mkusanyiko wa papers hizo hapa jukwaani, utasaidia katika suala zima la kuwanoa vijana wetu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ndimi mwalimu wa Civics na mtaaluma katika shule Fulani ya kata hapa nchini Tanzania.