Mochwari: Chimbo muhimu la wachawi na waganga

Hii ishu kw akweli hutokea sana tena sanaaaaa yaani kuna watu hufia rasmi akiwa kaburini, nina wasiwasi mkubwa sana na jinsi madaktari wanavyopima aseee.

Sijawahi kuogopa movie, lakini hadi leo hii naogopa movie ya After Death, Liam ndio kacheza na hamna sijui madamu damu wala nini maneno tuuu ile movie naipenda kuifuta nogopa kuirudia naogopa iko iko tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana 2006 nilihitaji kuomba hiyo kazi mirambo hospitality ya kesho tabora upande wa mochwali sasa tulikuwa tunapewa tu story watoto wa cotaz tunajifanya nasisi depo mpya.

Walinzi waliokuwa wanafanya doria usiku kesho yake wanatusimuoia Jana wamepita pale movhwali wameitwa mle ndani na hakuna mtu muda huo tukawa hatuamini jamaa wanatulisha matango poli yakutosha wanajisifu basi Mimi na jamaa yangu tukatikea tunaipenda sana hiyo kazi tukawa tunajiita askali wa ma soldiers.

Bwana bwana wewh! Pale kulikua na wahudumu wawili mzee mmoja na jamaa mmoja alikua anaitwa Zero private R.I.p tukatengeneza nae urafiki wa kufamtu jamaa muda wote tungi akaanza kutufundisha kulewa hatuku muelewa shida yetu ila kwa utoto wetu tukawa tunaona laha tukionekana resort tunakunya na yule jamaa

Wazazi wakawa wanatukataza kufatananae tukawa hatusikii.sasa siku moja baba wa jamaa yangu alikua lindo Kamanda wa zamu kwa nafasi aje aliyokuwa nayo kipindi hicho usiku wake askali walisumbuliwa sana waliokuwa zamu mule mochwali palikuwa hapatoshi watu nnje wanasikia Mara meza zinavutwa Mara hiv Mara hivi inabidi jamaa afatwe Tdi defender ikaenda kumsaka town kwa bahati nzuri tulikuwa wote kwanza tulikula kichapo kama cha 1000 hivi jamaa akagoma kwenda bila sisi hapo wanawake full fujo bar wanajuwa wanajeshi wameijiwa na wenzao kumbe walaaa jamaa pekeake ndio mtu wa system inabidi tutupwe kwenye pila mmmmmmmm mpaka camp sbbu ndani ya geti kuna cotaz na kikoc tukaachwa Mimi na jamaa pale jengo la mapokezi jamaa akagoma bila cc haingii basi sisi vichwa hivyo vikavimba tukajiisi kama ndoto ndio zinatimia

Mungu wangu ile kukalibia kuna muembe mkubwa kiza totolo bwana bwana likadondoka sufuria na Sonia bwaaaangalangala askali woote mbio najamaa yangu mi nikajifanya kichwa ngumu nyie jamani yahuko yaachieni huko huko pombe mdahuo zimekata.

Jamaa akafungua akawashataa tukaingia yeye ziro,Mimi na jamaa mmoja tulikuwa tunamwita mkono wa chuma yuko na Ak47 yake jamaa akafunga mlango Mimi na jamaa wa zamu tukaanza kutazamana kipindihicho fridge zilikuwa chache pale hospitali za kuhifadhia miili nyingi zilikuwa zimelazwa chini kwenye ubaridi zimefunikwa shuka jamaa akaanza kufunua mojamoja huku anauliza nani analeta usenge humu bado hamjalala sio mdahuo jamaa kashika nyundo ya kilo 50 anafunua moja baada ya nyingine huku anaendelea kuuliza Mimi mdahuo nakumbuka mwili ulikuwa hauna ganzi kbsa jamaa nayeye eti akaiweka standby machine huku ziro anaendelea mala kunamaiti moja ikasema huyuuku anasumbua wenzie nyie jamaniiiii mshawahi kuona kutetemeka laiti mtu angekuwa na record siku hiyo mmmmmhhhm ziro akaifata hiyo ilioongea akaifunua huku anauliza nani una sema hajalala hiyo ilikua nimepata ajali meno yametoka kapasuka paksuka bado hajashonwa usoni meno kama ngili jamani nyie acheni2 jamaa kafunua hapo akaona hamna tatizo tukatoka pale mlandoni ndio kunameza akachukua daftari la orodha akaanza kulikagua mdahuo Mimi nipo nyuma ya yule jamaa alie shika bunduki mlangoni eti nimejificha jamaa alipo maliza kukagua akatuambia kuna wageni wameletwa jioni alikua ajajua walipata ajali njia ya mambali ile

Akafungua kufuli tukatoka Mimi na jamaa yeye zero akabaki tukaanza kusikia anawatukana marehemu nyie k...ma acheni useng.. Matusi mengi akamaliza akawaambia nisikie tena kelele akatoka akafungua tukaanza kuondoka ile tumefika Malibu na ile gari iliyo tuleta tukakutana na askali mmoja na jamaangu na baba yake mzee akaniuliza mbona nimejikojolea Mimi ndio lahaulaaa najiona wacha wanicheke.

#Toka_siku_hiyo_Mimi_na_ziro_tukawa_tuna_kwepana2 ila nilitaarifiwa yule jamaa alifariki 2014 ilipata ajali alikua na pkpk akagongwa na gari ya halmashauri Tbr mjini kafarki mungu amlaze pahala pema peponi Amina
 
Back
Top Bottom