Mobutu Seseseko angekuwa Mhe. Rais wa TZ?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Just thinking aloud. What would have been different, had Mobutu Seseseko been the Honourable President of United Republic of Tanzania?
 
Kwani aliyoyafanya Mkapa hayafanani na yaliyofanywa na Mobutu nchini kwake!?
 
Angekuwa hai na angekuwa raisi mpaka leo, just like tht!!!! tehe tehe tehe!!!!!!
 
Kwani aliyoyafanya Mkapa hayafanani na yaliyofanywa na Mobutu nchini kwake!?

Anayoyafanya Kikwete pia hayana tofauti; Mobutu alijenga makasili kijijini kwake kama Kikwete anavyojenga makasili yake pale Msoga na Regent estate. Kikwete hajatangaza mali zake lakini kama Mobutu nadhani anafedha nyingi nje za madini anazofichiwa na wakina Sin Clair kama Mobutu nae alivyokuwa anafichiwa na makampuni ya Wafaransa ya uchimbaji madini Congo!! Kama huu ni uzushi basi atangaze mali alizonazo halafu watu wenye dossier yake waiweke hadharani.
 
Back
Top Bottom