mobile phones internet connections

Chibwende

Member
Jun 11, 2013
17
5
wana jf, naomba msaada jins ya ku connect sim na internet. nina sim yang aina ya samsung GT C3212i inanisumbua kwel ku connect internet. nashindwa kuelewa shida ipo wap, na kitu kingine kuna jamaa flani wakat nipo chuo alikuwa anafanya kazi ya kufungulia watu internet kwenye sim zao, ilikuwa ni kazi yake kabisa. sikupata nafasi ya kukaa nae na kumuuliza kama kuna software inayotumika kutokana na ubize wa hapa na pale. natumaini nitapata mtu wa kunielekeza juu ya siri iliyopo unapounganisha sim yoyote na internet unatakiwa ufanye nini.
natanguliza shukrani
 
Kutengeneza profile ya internet kwa simu za Samsumg ni rahisi sana,dk1 tu. Sijui mfumo wa hiyo simu ila unaweza kwenda kwenye settings, upande wa internet settings (sina hakika itakiwa imeandikwaje), ukifika huko press option-add new (profile), kwenye profile name andika "internet" na kwenye APN andika "internet". Kote usiweke fungua/funga semi. Baada ya hapo save then activate. Tumia internet.
 
asante sana asee, imekubal lakini inachukua mda mrefu sana kufunguka. nimejaribu kudownload operamini, lakin inakata alaf inasema network error, nifanyeje ili iwe faster
 
Ok, upo wapi? pia mahali ulipo, upatikanaji wa mtandao ukoje hasa huo unaotumia? pia uwezo wa hiyo simu ni Edge na GPRS kwa hilo la ku-load muda mrefu ni kawaida, kulingana na uwezo wa simu. Pia jaribu ku restart simu.
 
asante sana ndugu ilonga kwa msaada wako, nimegundua hii sim ina uwezo mdog kwani sim hii ninayotumia sasa connections zipo faster na wakati nipo kwny eneo hilo hilo na inatumia GPRS kama hii ndog ninayohangaikia kui connect
 
Karibu.
 
Back
Top Bottom